Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,486
- 29,964
wewe ni ---- ndo maana unaleta uchuro.cdm ndio habari ya mujini sio tu arusha hata hapa kwetu simiyu,ramadi,bariadi,dutwa,maswa na maeneo ya jirani,tunamshambulia shetani ccm kwa kwenda mbele
Mkuu Ritz
Duuhh!!! supu ya ulimi na viroba!! Kweli akili za makamanda zinahitaji msaada; ni wazi Lema anaongoza vichaa!! Hivi hao hawana sehemu nyingine ya kufanya mikutano ni Arusha tu???
umekubali kuwa kibaraka wa wachaga, ni hatari sana.Itatuchukua muda mrefu sana wasukuma kujitambua na kujisimamia,tutaendelea kuwa matambala ya hawa konokono hadi tutakoma
nasari na lema mfuasi wa siasa nyepesi.
Ni yepi ya msingi wamewafanyia watu wa arusha ambayo ccm walishindwa au hawakuyafanya?
Cdm mnaelekea kaburini, hamna muda mrf.
Kamanda usingizi ni muhimu kwa afya yako.Inakuuma sana....Nabado...Chadema inatwanga kotekote...Hatubakizi hata panya..
Kamanda usingizi ni muhimu kwa afya yako.
We umelala...? Temana na mimi..
Hakuna Jipya watakalolileta kama kawaida yao, sana sana Mipasho tu, wananchi wa Arusha wameshawachoka hawa wahuni.
Nimelala vizuri na wifi yako na sasa hivi nipo njiani kwenda kujenga taifa langu
Mbona ccm kwenye huo mkutano tunaoarifiwa hamkupata eatu?kama unataka kutuambia ccm inapendwa.subiri tuone matokeo ya mkutano wa leo wa CDM ndipo tupate uhakika wa kauli yako .usipende porojo mitandaoni
Kamanda vipi Unga Ltd wazima?
kwani tedo we ndo dada sweetlady mbona una kiherehere kama ndugu wa mume, acha kunya sehem unayotakiwa kujamba!!!
Mwehu ni wewe unaemzimikia kamanda Lema wakati unajua tayari ana mke wake!
Unataka apigwe tofali na yule mwehu?
Tena nimejaaliwa bonge la chatu