Lema, Nassari kufunika kesho Arusha!!!

Lema, Nassari kufunika kesho Arusha!!!

Mwezi uliopita nilikuwa Arusha nakaamua kwenda kujichanganya vijiwe vya Chadema maeneo ya Unga Limited.

Nikakuta vijana wanasimuliana kuhusu Lema wanasema Chadema wakiingia madarakani kila kijana atapewa Toyo nne na kulipwa mshahara kila mwezi.

Mimi nikajifanya mwenzao nikawambia Chadema wakichukuwa nchi vijana wote wa Arusha watakuwa mabilionea wale vijana wakaniambia bro! Wewe kweli ni kamanda tunakuheshimu sana, mie sikutaka kuaacha wapweke maana kesho yake asubuhi nilikuwa nasafiri, nikaamua kuwanunulia supu ya ulimi na viroba walishangilia sana wakaanza kuniita mimi eti bilionea.

Kesho asubuhi makamanda wanakuja Kibo Palace Hotel kuniulizia wanaambiwa jamaa kaondoka asubuhi makamanda walisikitika sana.

Cc; chama THE BIG SHOW
Kwi kwi kwiii, Mkuu Ritz ni bora ulivyoondoka mapema Arusha Lema angegundua angekusaka na kitofali
 
Baada ya ccm kuambulia watu 23 kwenye mkutano wao wa leo maeneo ya uwanja wa stadium bar ... Mkutano ambao wananchi wa arusha wameufananisha na kikao cha send off....

Pole nyingi kwa Ole sendeka na Mary Chatanda manake wamekuwepo eneo la mkutano toka sa 5 asubuhi bila kuambulia watu wa kuwahutubia! Kilichoshuhudiwa ni wacheza ngoma wakikata mauno ili kuwavutia watu bila mafanikio....... Hii ndio Arusha bwana peoplessssssss ndio habari ya wakaazi wa arusha!!! Hii maana yake ni kwamba arusha bila ccm inawezekana / ilishawezekana!

Chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kitafanya mkutano mkubwa kwenye uwanja wa Ngarenaro kesho kuanzia saa 10 jioni...... Wasemaji wakuu ni makamanda wetu wa ukweli Godbless Lema, Nassari Joshua, Nanyaro Ephata, Amani Golugwa pamoja na makamanda wengine wengi!

Kama kawaida kutakuwepo na makamanda watakaotupatia kwa ufasaha kinachoendelea kutoka eneo la mkutano (live bila chenga).......... Habari ziwafikie Mungi, Crashwise, Arushaone, Filipo, Ben Saanane, Fidel80, Erickb52, Masanilo na wengine wengi!

Kama kawaida arusha ni peoplessssssssss mwanzo mwisho!!

Nawasilisha!

Mgeni rasmi atakuwa nani Ben Saanane au Yericko Nyerere?
 
Mipunga utaijua tu sasa "kitu chenye ncha tamu" kinakufurahisha nini?

Nikuulize wewe...Maana inasemekana ulikuwa unakata mauno ukifurahia kitu chenye ncha tamu.......Masikini kumbe aliona vibaya....Kumbe kitu chenye ncha tamu kilikuwa kina kuumiza....Pole sana....Usipende kukatikia vitu vyenye nchi tamu....
 
Kumbe ulitaka waende jimbo la Bagamoyo....? Hivi magamba mmelogwaaaa...Tumieni akili sometimes.....Tatizo mnapenda vitu vyenye ncha tamu...
Kaskazini oyeeeeeee
 
Arusha Mna wabunge wawili tu halafu mnajifananisha na CCM? Eti Arusha ni ngome ya CHADEMA...acheni kupotosha Umma, Najua LEMA na Nassary wameshajipanga kununulia vijana viroba ili wawashangilie wakati wanamwaga Pumba na matusi jukwaani!

Leo mmeshindwa nini kiwanunulia viroba washikaji zenu wakaja kiwa support???
 
Arusha Mna wabunge wawili tu halafu mnajifananisha na CCM? Eti Arusha ni ngome ya CHADEMA...acheni kupotosha Umma, Najua LEMA na Nassary wameshajipanga kununulia vijana viroba ili wawashangilie wakati wanamwaga Pumba na matusi jukwaani!

Kwa matusi unadhani wapo lusinde au mwigulu? acha upumbavu,na mbunge Natse wa karatu ni wa CCM?
 
Lema mwisho wake Arusha tu,Zito tanzania yote anaenda
 
Sasa kama moshi na arusha wameshajitosheleza tayar kuwa ni kambi yao na CCM hawana chao,kipi kinachowafanya waendelee kupiga kambi huko na kuacha kwenda maeneo mengine ya nchi hiii kama zanzibar,lindi na mtwara,ruvuma,na sehemu zingine zisizokuwa na ushawishi?? wao wanadhan wanaweza kuichukua nchi hii kwa kura za arusha na moshi pekee?? Inashangaza sana,hii tunaelekea 2014 to 2015 wao bado wanahangaika na sehem ambayo ni kambi yao, HAINGII AKILINI KABISA
 
Baada ya ccm kuambulia watu 23 kwenye mkutano wao wa leo maeneo ya uwanja wa stadium bar ... Mkutano ambao wananchi wa arusha wameufananisha na kikao cha send off....

Pole nyingi kwa Ole sendeka na Mary Chatanda manake wamekuwepo eneo la mkutano toka sa 5 asubuhi bila kuambulia watu wa kuwahutubia! Kilichoshuhudiwa ni wacheza ngoma wakikata mauno ili kuwavutia watu bila mafanikio....... Hii ndio Arusha bwana peoplessssssss ndio habari ya wakaazi wa arusha!!! Hii maana yake ni kwamba arusha bila ccm inawezekana / ilishawezekana!

Chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kitafanya mkutano mkubwa kwenye uwanja wa Ngarenaro kesho kuanzia saa 10 jioni...... Wasemaji wakuu ni makamanda wetu wa ukweli Godbless Lema, Nassari Joshua, Nanyaro Ephata, Amani Golugwa pamoja na makamanda wengine wengi!

Kama kawaida kutakuwepo na makamanda watakaotupatia kwa ufasaha kinachoendelea kutoka eneo la mkutano (live bila chenga).......... Habari ziwafikie Mungi, Crashwise, Arushaone, Filipo, Ben Saanane, Fidel80, Erickb52, Masanilo na wengine wengi!

Kama kawaida arusha ni peoplessssssssss mwanzo mwisho!!

Nawasilisha!

Nipo hedaru nakuja lazima niwepo eneo la tukio
 
Mwezi uliopita nilikuwa Arusha nakaamua kwenda kujichanganya vijiwe vya Chadema maeneo ya Unga Limited. Nikakuta vijana wanasimuliana kuhusu Lema wanasema Chadema wakiingia madarakani kila kijana atapewa Toyo nne na kulipwa mshahara kila mwezi. Mimi nikajifanya mwenzao nikawambia Chadema wakichukuwa nchi vijana wote wa Arusha watakuwa mabilionea wale vijana wakaniambia bro! Wewe kweli ni kamanda tunakuheshimu sana, mie sikutaka kuaacha wapweke maana kesho yake asubuhi nilikuwa nasafiri, nikaamua kuwanunulia supu ya ulimi na viroba walishangilia sana wakaanza kuniita mimi eti bilionea. Kesho asubuhi makamanda wanakuja Kibo Palace Hotel kuniulizia wanaambiwa jamaa kaondoka asubuhi makamanda walisikitika sana. Cc; chama THE BIG SHOW
Daah, Ritz unazingua sana, Lol,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom