Lema, Nassari kufunika kesho Arusha!!!

Lema, Nassari kufunika kesho Arusha!!!

Hakuna Jipya watakalolileta kama kawaida yao, sana sana Mipasho tu, wananchi wa Arusha wameshawachoka hawa wahuni.
MSALANI unachekesha sana. Unaambiwa mkutano wa Ole Sendeka umehudhuriwa na watu 23 pamoja na watu kukata viuno mpaka basi. Halafu unasema Arusha Chadema imechokwa? Basi ngoja tuone labda kauli yako ina ukweli na kesho mkutano wa Chadema utakuwa na watu wachache zaidi pengine 19 tuu.
 
Last edited by a moderator:
Baada ya ccm kuambulia watu 23 kwenye mkutano wao wa leo maeneo ya uwanja wa stadium bar ... Mkutano ambao wananchi wa arusha wameufananisha na kikao cha send off....

Pole nyingi kwa Ole sendeka na Mary Chatanda manake wamekuwepo eneo la mkutano toka sa 5 asubuhi bila kuambulia watu wa kuwahutubia! Kilichoshuhudiwa ni wacheza ngoma wakikata mauno ili kuwavutia watu bila mafanikio....... Hii ndio Arusha bwana peoplessssssss ndio habari ya wakaazi wa arusha!!! Hii maana yake ni kwamba arusha bila ccm inawezekana / ilishawezekana!

Chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kitafanya mkutano mkubwa kwenye uwanja wa Ngarenaro kesho kuanzia saa 10 jioni...... Wasemaji wakuu ni makamanda wetu wa ukweli Godbless Lema, Nassari Joshua, Nanyaro Ephata, Amani Golugwa pamoja na makamanda wengine wengi!

Kama kawaida kutakuwepo na makamanda watakaotupatia kwa ufasaha kinachoendelea kutoka eneo la mkutano (live bila chenga).......... Habari ziwafikie Mungi, Crashwise, Arushaone, Filipo, Ben Saanane, Fidel80, Erickb52, Masanilo na wengine wengi!

Kama kawaida arusha ni peoplessssssssss mwanzo mwisho!!

Nawasilisha!

Picha ya hiyo kitchen part tafadhari.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana SweetyLady kwa taarifa nzuri sana!
Tahadhari!!
DVR Ifungwe kila kona ya uwanja maana magambaz nao watakuja na chinese product kama soweto

Pamoja sana mkuu mnovatus..... Tuko kamili kabisa na tumemtanguliza Mungu pia
 
Last edited by a moderator:
MSALANI unachekesha sana. Unaambiwa mkutano wa Ole Sendeka umehudhuriwa na watu 23 pamoja na watu kukata viuno mpaka basi. Halafu unasema Arusha Chadema imechokwa? Basi ngoja tuone labda kauli yako ina ukweli na kesho mkutano wa Chadema utakuwa na watu wachache zaidi pengine 19 tuu.

Mkuu Chakaza achana na mtu anaejiita MSALANI..... Kichwani ni mtupu kabisa huyo
 
Last edited by a moderator:
Ningefurai zaidi kama Zitto ungealikwa.....
 
Hivi Tanzania ni stendi ya vifodi au sakina.

Hujaeleweka unataka kusema nini.... Funguka vizuri we gamba ujibiwe! Kwani kahawa siku hizi inalewesha?
 
ok-kwasababu agenda zenu zilikuwa za kusubiria makosa ya ccm na kwa kuwa ninyi sasa mmeonyesha udhaifu mkubwa kuliko hata hao CCM(kwa kukosoa ambayo kumbe hata ninyi hamyatekelezi) sijui mtakuja na Agenda gani. Hata hivyo dukuduku letu tungetamani mtutaarifu lini Uchaguzi ndani ya Chama, Lini mtawasilisha kwa CAG mahesabu ya Chama, hatua iliyofikiwa ya Retirement ya 80m alizochukuwa Mbowe kwa ajili ya ununuzi wa vifaa mbalimbali vya M4C(machapisho), ununuzi wa magari ya M4C nje ya taratibu za Tender Board, nafasi ya MSHUMBUSI ndani ya Chama-je ni volunteer, first lady, au consultant na ni nani ambaye huidhinisha malipo makubwa kwa hawala huyu wa Kigogo
 
Haya kazi njema.ila mkimgusa tu zitto tutapambana tena humuhumu ndani pia msisahau kuchangisha hela kwa ajili ya huduma za yericko kule lupango.
''cadema mchakamchaka hadi 2015''

Hivi kwani zitto ni nani????? Chadema bila zitto inawezekana! Mfikishie salamu za upendo...... Mwambie makamanda tupo tunaendelea kujenga chama chetu!
 
halafu tulidhani we leo utarusha live mkutano wa magamba ikawaje?

arusha ni wimbo ni moja tu peoples power!!!!

sema arusha mjini, sio arusha yote wanataka huu uhuni wa kununuliwa viroba na kushangilia ujinga!
 
Baada ya ccm kuambulia watu 23 kwenye mkutano wao wa leo maeneo ya uwanja wa stadium bar ... Mkutano ambao wananchi wa arusha wameufananisha na kikao cha send off....

Pole nyingi kwa Ole sendeka na Mary Chatanda manake wamekuwepo eneo la mkutano toka sa 5 asubuhi bila kuambulia watu wa kuwahutubia! Kilichoshuhudiwa ni wacheza ngoma wakikata mauno ili kuwavutia watu bila mafanikio....... Hii ndio Arusha bwana peoplessssssss ndio habari ya wakaazi wa arusha!!! Hii maana yake ni kwamba arusha bila ccm inawezekana / ilishawezekana!

Chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kitafanya mkutano mkubwa kwenye uwanja wa Ngarenaro kesho kuanzia saa 10 jioni...... Wasemaji wakuu ni makamanda wetu wa ukweli Godbless Lema, Nassari Joshua, Nanyaro Ephata, Amani Golugwa pamoja na makamanda wengine wengi!

Kama kawaida kutakuwepo na makamanda watakaotupatia kwa ufasaha kinachoendelea kutoka eneo la mkutano (live bila chenga).......... Habari ziwafikie Mungi, Crashwise, Arushaone, Filipo, Ben Saanane, Fidel80, Erickb52, Masanilo na wengine wengi!

Kama kawaida arusha ni peoplessssssssss mwanzo mwisho!!

Nawasilisha!

Ahsante Kamanda sweetlady.....Nitaufuatilia mkutano huo kwa jicho la 3D......Nawaaminia makamanda kwa update..

Chadema chama dume...
 
Last edited by a moderator:
ok-kwasababu agenda zenu zilikuwa za kusubiria makosa ya ccm na kwa kuwa ninyi sasa mmeonyesha udhaifu mkubwa kuliko hata hao CCM(kwa kukosoa ambayo kumbe hata ninyi hamyatekelezi) sijui mtakuja na Agenda gani. Hata hivyo dukuduku letu tungetamani mtutaarifu lini Uchaguzi ndani ya Chama, Lini mtawasilisha kwa CAG mahesabu ya Chama, hatua iliyofikiwa ya Retirement ya 80m alizochukuwa Mbowe kwa ajili ya ununuzi wa vifaa mbalimbali vya M4C(machapisho), ununuzi wa magari ya M4C nje ya taratibu za Tender Board, nafasi ya MSHUMBUSI ndani ya Chama-je ni volunteer, first lady, au consultant na ni nani ambaye huidhinisha malipo makubwa kwa hawala huyu wa Kigogo

Umeandika kimbea mbea sana...... Andika kama mwanaume uliyestaarabika ili ujibiwe kistaarabu pia!...... Huu umbea ulioandika hapa kama vile unaimba taarabu hutajibiwa .... Samahani sana mkuu!
 
Back
Top Bottom