Lema, Nassari kufunika kesho Arusha!!!

Lema, Nassari kufunika kesho Arusha!!!

Hakuna Jipya watakalolileta kama kawaida yao, sana sana Mipasho tu, wananchi wa Arusha wameshawachoka hawa wahuni.

wewe ni ---- ndo maana unaleta uchuro.cdm ndio habari ya mujini sio tu arusha hata hapa kwetu simiyu,ramadi,bariadi,dutwa,maswa na maeneo ya jirani,tunamshambulia shetani ccm kwa kwenda mbele
 
Ooh yeah.... Huo ndio ukweli Kwayu hata kama unauma kwa ccm lazima tuuseme! Hakunaga kama chadema!

Mkuu umesema kweli,huku kanda ya ziwa tupo kamili gado 2015 hatasalia hata gamba 1 wa dawa,tunawavua wote na tumejipanga acha wao waendelee kuota na porojo zao mitandaoni.
 
Last edited by a moderator:
Mwezi uliopita nilikuwa Arusha nakaamua kwenda kujichanganya vijiwe vya Chadema maeneo ya Unga Limited.

Nikakuta vijana wanasimuliana kuhusu Lema wanasema Chadema wakiingia madarakani kila kijana atapewa Toyo nne na kulipwa mshahara kila mwezi.

Mimi nikajifanya mwenzao nikawambia Chadema wakichukuwa nchi vijana wote wa Arusha watakuwa mabilionea wale vijana wakaniambia bro! Wewe kweli ni kamanda tunakuheshimu sana, mie sikutaka kuaacha wapweke maana kesho yake asubuhi nilikuwa nasafiri, nikaamua kuwanunulia supu ya ulimi na viroba walishangilia sana wakaanza kuniita mimi eti bilionea.

Kesho asubuhi makamanda wanakuja Kibo Palace Hotel kuniulizia wanaambiwa jamaa kaondoka asubuhi makamanda walisikitika sana.

Cc; chama THE BIG SHOW

Mkuu Ritz
Duuhh!!! supu ya ulimi na viroba!! Kweli akili za makamanda zinahitaji msaada; ni wazi Lema anaongoza vichaa!! Hivi hao hawana sehemu nyingine ya kufanya mikutano ni Arusha tu???
 
Last edited by a moderator:
Baada ya Arusha waelekee mikoa mingine ambayo inahitaji elimu ya ya haki zote za raia wa nchi hii...Nadhani Arusha waelewa sasa wa masuala haya
 
Mkuu umesema kweli,huku kanda ya ziwa tupo kamili gado 2015 hatasalia hata gamba 1 wa dawa,tunawavua wote na tumejipanga acha wao waendelee kuota na porojo zao mitandaoni.

umekubali kuwa kibaraka wa wachaga, ni hatari sana.Itatuchukua muda mrefu sana wasukuma kujitambua na kujisimamia,tutaendelea kuwa matambala ya hawa konokono hadi tutakoma
 
Lema mwisho wake Arusha tu,Zito tanzania yote anaenda

I wish kama ungejuwa ni kiasi gani magamba wanatamani jimbo la arusha mjini liwe chini yao wala usinge andika utumbo...tatizo lenu vijana wa buku 7 akili zenu zinawaza buku 7 tu.
 
Mkuu Ritz
Duuhh!!! supu ya ulimi na viroba!! Kweli akili za makamanda zinahitaji msaada; ni wazi Lema anaongoza vichaa!! Hivi hao hawana sehemu nyingine ya kufanya mikutano ni Arusha tu???
Ndio ni arusha tuu maana magamba wanatamani sana jimbo la arusha mjini walichukuwe hata kwa kumwaga damu...kwa hiyo mikutano arusha ni lazima....tunatokomeza magamba mazima.arusha magamba hawana chao hahaha
 
Last edited by a moderator:
Mie nashangaa sana yaani Hadi wa leo kuna mijitu bado haiamini kama Arusha ni Chadema yaani Chadema ndio habari ya Arusha na Majembe oh no sio majembe bana ni Makaterpilar yaani Kamanda Godbles Jonathan Lema na Kamanda Joshua Nassari hawa ni kiboko ya Magamba pale Arusha hata Kikwete mwenyewe anawafahamu hawa vijana,Hivi Maccm bado hayaamini na kama hayaamini si yangemuuliza Yule mgonjwa wa akili Mwigulu Mchemba kuwa hivi Arusha ni ya nani?
 
Hahaha hahaha kamanda mboko japo umemaliza...eti yule mgonjwa wa akili mwigulu chemba hahaha kweli yule mwigulu chemba ni mwehu :yield:
 
Go go go Chadema, hakuna kurudi nyuma, waambie wana arusha juu ya wasaliti ili wawe makini......
 
Unadhani ukiwahidi watu viroba unategemea wasijae uwanjani?kesho nadhani bakuri lenu utasaidia kuizungusha ili kuongeza mapato ya chama

ya ubwabwa na wasanii, haina soko tena poleni ma ccm
 
umekubali kuwa kibaraka wa wachaga, ni hatari sana.Itatuchukua muda mrefu sana wasukuma kujitambua na kujisimamia,tutaendelea kuwa matambala ya hawa konokono hadi tutakoma

kwa taarifa yako chadema inaguvu usukuma kuliko kokote ndiyo maana tunawabunge wengi kutoka huko..
 
Mie nashangaa sana yaani Hadi wa leo kuna mijitu bado haiamini kama Arusha ni Chadema yaani Chadema ndio habari ya Arusha na Majembe oh no sio majembe bana ni Makaterpilar yaani Kamanda Godbles Jonathan Lema na Kamanda Joshua Nassari hawa ni kiboko ya Magamba pale Arusha hata Kikwete mwenyewe anawafahamu hawa vijana,Hivi Maccm bado hayaamini na kama hayaamini si yangemuuliza Yule mgonjwa wa akili Mwigulu Mchemba kuwa hivi Arusha ni ya nani?

wanajua ila si ni machizi..
 
Mkuu Ritz
Duuhh!!! supu ya ulimi na viroba!! Kweli akili za makamanda zinahitaji msaada; ni wazi Lema anaongoza vichaa!! Hivi hao hawana sehemu nyingine ya kufanya mikutano ni Arusha tu???

afadhali kicha kuliko mwenye kifafa..
 
Last edited by a moderator:
nasari na lema mfuasi wa siasa nyepesi.
Ni yepi ya msingi wamewafanyia watu wa arusha ambayo ccm walishindwa au hawakuyafanya?
Cdm mnaelekea kaburini, hamna muda mrf.
 
nasari na lema mfuasi wa siasa nyepesi.
Ni yepi ya msingi wamewafanyia watu wa arusha ambayo ccm walishindwa au hawakuyafanya?
Cdm mnaelekea kaburini, hamna muda mrf.
Tafuteni single nyingine maana hiyo ya chadema kufa sijui kwenda kaburini imeshachuja....maana mtangoja sana chadema kufa haifi ng'000!.hiyo single imeisha kama zile za ukanda, ukabila, ugaidi na hii ya chadema kufa.
 
nasari na lema mfuasi wa siasa nyepesi.
Ni yepi ya msingi wamewafanyia watu wa arusha ambayo ccm walishindwa au hawakuyafanya?
Cdm mnaelekea kaburini, hamna muda mrf.

Katika hali tuliyonayo ndani ya Jiji la A town nakwambia hata mafisadi walete mabegi yao ya pesa hapa breki yao. Kwani katika miaka yote ya Uhuru ni nini ccm imetufanyia cha maana? Zaidi ya ulaghai tu mpaka ya kusafirisha wanyama.

Hapa mafisadi hawana lao kudadeki!
 
Sasa kama moshi na arusha wameshajitosheleza tayar kuwa ni kambi yao na CCM hawana chao,kipi kinachowafanya waendelee kupiga kambi huko na kuacha kwenda maeneo mengine ya nchi hiii kama zanzibar,lindi na mtwara,ruvuma,na sehemu zingine zisizokuwa na ushawishi?? wao wanadhan wanaweza kuichukua nchi hii kwa kura za arusha na moshi pekee?? Inashangaza sana,hii tunaelekea 2014 to 2015 wao bado wanahangaika na sehem ambayo ni kambi yao, HAINGII AKILINI KABISA

Tulia wewe mambo hayakuhusu haya..
 
Back
Top Bottom