yegella
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,113
- 1,104
Hujaeleweka unataka kusema nini.... Funguka vizuri we gamba ujibiwe! Kwani kahawa siku hizi inalewesha?
umenichekesha sana..
Hujaeleweka unataka kusema nini.... Funguka vizuri we gamba ujibiwe! Kwani kahawa siku hizi inalewesha?
Hakuna Jipya watakalolileta kama kawaida yao, sana sana Mipasho tu, wananchi wa Arusha wameshawachoka hawa wahuni.
Kwani mkutano wa ole sendeka na chatanda walikuwa na mpya gani? Mbunge kuongea na wapiga kura wake na kuwapa mrejesho wayaliyojiri bungeni ni haki yake ya msingi
Arusha Mna wabunge wawili tu halafu mnajifananisha na CCM? Eti Arusha ni ngome ya CHADEMA...acheni kupotosha Umma, Najua LEMA na Nassary wameshajipanga kununulia vijana viroba ili wawashangilie wakati wanamwaga Pumba na matusi jukwaani!
NGOME ina wabunge wawili tu?Vipi watu 23 wanawapenda ccm...? Utaisoma namba ya CDM kwa mbaali.... Chadema tunachanja Mbugaaaaaa kama faru......
Magamba endeleeni kujitekenya na kujichekesha kama maduanz...
Wamewachoka kwa kuwachagua au? Maana ni juzi tu wamepanda majukwaani na kuchukua kata nne muhimu. Toa hoja na ushahidi kuhusu kuchokwa kwao. Vinginevyo unashinda msalani na kutabiri mambo ya barazani.
Halafu tulidhani we leo utarusha live mkutano wa magamba ikawaje?
Arusha ni wimbo ni moja tu Peoples Power!!!!
Umeandika kimbea mbea sana...... Andika kama mwanaume uliyestaarabika ili ujibiwe kistaarabu pia!...... Huu umbea ulioandika hapa kama vile unaimba taarabu hutajibiwa .... Samahani sana mkuu![/QUOTE
hayo ndio makosa yenu-hampendi mtu kutofautiana na ninyi, SLAA alipogonga LIKES kwenye posts zinazomkashifu ZZK na wakati Yeriko na SAA 9 wakimkashifu kiongozi mkubwa wa chama watu wote walikaa kimya, ZZT aliposema ukiona KIFARANGA juu ya CHUNGU jua mama yake yupo chini_mkaanza oh anashindwa kutumia forums za Chama kuwasilisha madai yake na blaaaa blaaa nyingi-ninyi bado vijana sana msikubali kutumika hivyo_why double standards? ni UOGA MAISHA TU AU NINI?
Wazee wa drama...
bi dada unaamanisha Mungu wa Tengeru au Mungu wa Machame?? ufafanuzi tafadhali
umenichekesha sana..
Poor you! MSALANI
Hakuna Jipya watakalolileta kama kawaida yao, sana sana Mipasho tu, wananchi wa Arusha wameshawachoka hawa wahuni.