Lema, Nassari kufunika kesho Arusha!!!

Lema, Nassari kufunika kesho Arusha!!!

Mwezi uliopita nilikuwa Arusha nakaamua kwenda kujichanganya vijiwe vya Chadema maeneo ya Unga Limited.

Nikakuta vijana wanasimuliana kuhusu Lema wanasema Chadema wakiingia madarakani kila kijana atapewa Toyo nne na kulipwa mshahara kila mwezi.

Mimi nikajifanya mwenzao nikawambia Chadema wakichukuwa nchi vijana wote wa Arusha watakuwa mabilionea wale vijana wakaniambia bro! Wewe kweli ni kamanda tunakuheshimu sana, mie sikutaka kuaacha wapweke maana kesho yake asubuhi nilikuwa nasafiri, nikaamua kuwanunulia supu ya ulimi na viroba walishangilia sana wakaanza kuniita mimi eti bilionea.

Kesho asubuhi makamanda wanakuja Kibo Palace Hotel kuniulizia wanaambiwa jamaa kaondoka asubuhi makamanda walisikitika sana.

Cc; chama THE BIG SHOW

Ulisahau kitu kimoja Ritz, Ungewanunulia UGORO na GOMBA wangekusindikiza kwa TOYO mpaka AIRPORT...mm vijana wa CHADEMA Arusha nawajua vizuri!
 
Last edited by a moderator:
nimepita hapo stadium ccm wanakata mauno kama wanalalwa..

Hahahaahaaaaa dah!! Mkuu yegella umenichekesha sana haswa haya majamaa nikivuta picha na mauno ya olesendeka kama vile wanapigwa kitu chenye ncha tamu...tehe tehe teheeeee
Cc: Simiyu Yetu
 
Last edited by a moderator:
Ulisahau kitu kimoja Ritz, Ungewanunulia UGORO na GOMBA wangekusindikiza kwa TOYO mpaka AIRPORT...mm vijana wa CHADEMA Arusha nawajua vizuri!
Haaha haa ha haaa haaa!!

Mkuu usinivunje mbavu zangu.
 
Last edited by a moderator:
Unadhani ukiwahidi watu viroba unategemea wasijae uwanjani?kesho nadhani bakuri lenu utasaidia kuizungusha ili kuongeza mapato ya chama

Hakikisha uharo ukikubana kuwe na choo karibu....Vingenevyoooo......
 
M/mungu ahimidiwe ! yaan kwa kweli mlijivika ngozi ya kondoo na tukawaamini kiasi cha kutaka kuwapa nchi hivi hivi, sijui tungeponea wapi ? kumbe huu ndio ulikuwa muda wa SLAA na MBOWE kuanza kujirejeshea fedha walizowekeza ndani ya chama_mimi nilijua ni UZALENDO kumbe ni biashara na sasa ndio ilikuwa muda wa KUVUNA (wana SACCOS mnajua mambo ya mboga mboga)-na MSHUMBUSI anajinasibu acha watanue wamesota sana na kuwekeza sana chamani-kweli misukule ni misukule tu

Pole ndugu....Chama kinasonga mbele na kamwe hakirudi nyuma....Magamba endeleeni kijichekesha huku kwenye mtandao ndo.mtaijua Chadema maana yake ni nini...?
 
Makala Jr-kaka mi nakujua sana uwezo wako na uzalendo wako kwa nchi hii tukiachilia mbalimbali mambo ya ufuasi na ninajua mtazamo wako kihalisia-vijana hawa wanahangaika na MAISHA TU kaka na wala hawana uwezo wa kujenga hoja kufikia kuogopwa, mim ningetamani kusikia sasa wanaendesha SEMINA kwa vijana ili wawe WAJASILIA MALI wazuri kwsbb kama ni KURA tayar wamempa_sasa anaenda kuwatia ubwege tu kwa kuwagawia viroba na na nin-hatuwasidii watanzania kwa namna hiyo bro_tuache ku-capitalise kwenye ujinga wa wananchi wetu-katika kipindi ambacho CCM wana relux kuliko kipindi chochote ni kipindi hiki ambapo Chama kimepoteza mwelekeo na kuweka TRUST kwa watu ambao tabia yao na uwezo wa kufikiri unajulikana sana-hapa ni ISSUE za UKANDA TU ndo zinawabeba vijana hao

Hebu malizia hizo bia za kuhongwa uende ukalale sasa....Ukumbuke kukojoa binti....
 
Last edited by a moderator:
Ulisahau kitu kimoja Ritz, Ungewanunulia UGORO na GOMBA wangekusindikiza kwa TOYO mpaka AIRPORT...mm vijana wa CHADEMA Arusha nawajua vizuri!

Mnachekeshana wenyewe.....Kujitekenya kuna madhara kwa afya..
 
Last edited by a moderator:
mwezi uliopita nilikuwa arusha nakaamua kwenda kujichanganya vijiwe vya chadema maeneo ya unga limited.

Nikakuta vijana wanasimuliana kuhusu lema wanasema chadema wakiingia madarakani kila kijana atapewa toyo nne na kulipwa mshahara kila mwezi.

Mimi nikajifanya mwenzao nikawambia chadema wakichukuwa nchi vijana wote wa arusha watakuwa mabilionea wale vijana wakaniambia bro! Wewe kweli ni kamanda tunakuheshimu sana, mie sikutaka kuaacha wapweke maana kesho yake asubuhi nilikuwa nasafiri, nikaamua kuwanunulia supu ya ulimi na viroba walishangilia sana wakaanza kuniita mimi eti bilionea.

Kesho asubuhi makamanda wanakuja kibo palace hotel kuniulizia wanaambiwa jamaa kaondoka asubuhi makamanda walisikitika sana.

Cc; chama the big show

hahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Hahahaahaaaaa dah!! Mkuu yegella umenichekesha sana haswa haya majamaa nikivuta picha na mauno ya olesendeka kama vile wanapigwa kitu chenye ncha tamu...tehe tehe teheeeee
Cc: Simiyu Yetu

Eti "kitu chenye ncha tamu"......Teh teh teh...Mkuu hebu wacha kunitengua mbavu zangu...
 
Last edited by a moderator:
Haaha haa ha haaa haaa!!

Mkuu usinivunje mbavu zangu.

Ni jambo jema baada ya kuchukua buku saba kuchekeshana.......Naona mnachekeshana.....Endeleeni kusubiri bahari jangwani...Hakika itakuja...
 
Eti "kitu chenye ncha tamu"......Teh teh teh...Mkuu hebu wacha kunitengua mbavu zangu...

Mipunga utaijua tu sasa "kitu chenye ncha tamu" kinakufurahisha nini?
 
Asanteni sana makamanda , UOGA NDIYO DHAMBI KUBWA KULIKO ZOTE .
 
Hahahaahaaaaa dah!! Mkuu yegella umenichekesha sana haswa haya majamaa nikivuta picha na mauno ya olesendeka kama vile wanapigwa kitu chenye ncha tamu...tehe tehe teheeeee
Cc: Simiyu Yetu

Kamanda kijome:yield: za masiku?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom