Lema, Nassari kufunika kesho Arusha!!!

Lema, Nassari kufunika kesho Arusha!!!

huyu Lema leo nimesikia kachafuliwa mtandaoni..........natamani kujua ni yapi yaliyomsibu
 
Mwezi uliopita nilikuwa Arusha nakaamua kwenda kujichanganya vijiwe vya Chadema maeneo ya Unga Limited.

Nikakuta vijana wanasimuliana kuhusu Lema wanasema Chadema wakiingia madarakani kila kijana atapewa Toyo nne na kulipwa mshahara kila mwezi.

Mimi nikajifanya mwenzao nikawambia Chadema wakichukuwa nchi vijana wote wa Arusha watakuwa mabilionea wale vijana wakaniambia bro! Wewe kweli ni kamanda tunakuheshimu sana, mie sikutaka kuaacha wapweke maana kesho yake asubuhi nilikuwa nasafiri, nikaamua kuwanunulia supu ya ulimi na viroba walishangilia sana wakaanza kuniita mimi eti bilionea.

Kesho asubuhi makamanda wanakuja Kibo Palace Hotel kuniulizia wanaambiwa jamaa kaondoka asubuhi makamanda walisikitika sana.

Cc; chama THE BIG SHOW

hahahahaaaa Ritz umenichekesha lol

asalaleee kuwanunulia supu ya ulimi na viroba wakakuita bilionea hahahahaa
 
Last edited by a moderator:
hivi mashoga nao wana wake..

images
 
SIFA ZA MAKAMANDA WA CHADEMA,

1. Kuwa mtiifu kwa mboe na slaa
2. kubali chochote wakisemacho hata kama utumbo
3. usijaribu kuhoji matumizi ya ruzuku kama chacha wangwe
4.mchukie kila anayechukiwa na mboe pamoja na slaa
5.usifungue mdomo pale unapoona katiba inakiukwa na demokrasi ndani ya chama ikiminywa

itaendele
a

naomba muendelezo twafadhali.......
 
Hiyo ndo singo mpya ya Lumumba boys baada ya kupata buku 7 za kuingia studio ya JF kurekodi.

Alaah wamerekodia studio gani!!!!!!

hahhahaaa Siasani unajua sikujagi sa leo break ya kwanza kwenye hii thread nacheka sanaa
 
Baada ya ccm kuambulia watu 23 kwenye mkutano wao wa leo maeneo ya uwanja wa stadium bar ... Mkutano ambao wananchi wa arusha wameufananisha na kikao cha send off....

Pole nyingi kwa Ole sendeka na Mary Chatanda manake wamekuwepo eneo la mkutano toka sa 5 asubuhi bila kuambulia watu wa kuwahutubia! Kilichoshuhudiwa ni wacheza ngoma wakikata mauno ili kuwavutia watu bila mafanikio....... Hii ndio Arusha bwana peoplessssssss ndio habari ya wakaazi wa arusha!!! Hii maana yake ni kwamba arusha bila ccm inawezekana / ilishawezekana!

Chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kitafanya mkutano mkubwa kwenye uwanja wa Ngarenaro kesho kuanzia saa 10 jioni...... Wasemaji wakuu ni makamanda wetu wa ukweli Godbless Lema, Nassari Joshua, Nanyaro Ephata, Amani Golugwa pamoja na makamanda wengine wengi!

Kama kawaida kutakuwepo na makamanda watakaotupatia kwa ufasaha kinachoendelea kutoka eneo la mkutano (live bila chenga).......... Habari ziwafikie Mungi, Crashwise, Arushaone, Filipo, Ben Saanane, Fidel80, Erickb52, Masanilo na wengine wengi!

Kama kawaida arusha ni peoplessssssssss mwanzo mwisho!!

Nawasilisha!
Contena la milungi lishafika?
 
Last edited by a moderator:
SIFA ZA MAKAMANDA WA CHADEMA,

1. Kuwa mtiifu kwa mboe na slaa
2. kubali chochote wakisemacho hata kama utumbo
3. usijaribu kuhoji matumizi ya ruzuku kama chacha wangwe
4.mchukie kila anayechukiwa na mboe pamoja na slaa
5.usifungue mdomo pale unapoona katiba inakiukwa na demokrasi ndani ya chama ikiminywa

itaendele
a

Sifa kuu ya kuwa Gamba.
Ujipendekeze kwa familia ya Mkwele hasa Prince Riziwani.

Pili, hakuna mwanaccm anayejuwa kama ccm inapata ruzuku kubwa kuliko vyama vyote.

Tatu, usijaribu kuhoji pesa za kulaza magari zinavyotumika wala mapato ya viwanja vya umma vilivyoporwa na ccm kama Ccm Kirumba.

4. Hakuna umuhimu wowote kwa mwanaccm kuijuwa katiba ya chama, katiba yetu kuu ni ukitaka kura ni lazima uliwe kwanza. Tafsiri unavyoweza.
 
Alaah wamerekodia studio gani!!!!!!

hahhahaaa Siasani unajua sikujagi sa leo break ya kwanza kwenye hii thread nacheka sanaa

Huku ndo tunapolimwa maBAN afu tunaibuka na ID mpya kuwatongozeni MMU kule ili kupunguza stress.
 
hahahahaaaa Ritz umenichekesha lol

asalaleee kuwanunulia supu ya ulimi na viroba wakakuita bilionea hahahahaa

Hivi wewe na akili yako unamsikiliza huyu mvaa vipedo Jihadist?

Kwanza nauli ya kufika Arusha apate wapi? Kwa malipo ya buku 7? Labda uniambie alikuwa kwenye msafara wa Ole sendeka uliododa.
 
Last edited by a moderator:
Sifa kuu ya kuwa Gamba.
Ujipendekeze kwa familia ya Mkwele hasa Prince Riziwani.

Pili, hakuna mwanaccm anayejuwa kama ccm inapata ruzuku kubwa kuliko vyama vyote.

Tatu, usijaribu kuhoji pesa za kulaza magari zinavyotumika wala mapato ya viwanja vya umma vilivyoporwa na ccm kama Ccm Kirumba.

4. Hakuna umuhimu wowote kwa mwanaccm kuijuwa katiba ya chama, katiba yetu kuu ni ukitaka kura ni lazima uliwe kwanza. Tafsiri unavyoweza.

Adhabu kwa mwana Chadema ukikiuka matakwa ya wenye chama
  • Kuvuliwa uanachama bila kujitetea
  • Kupigwa tofali la kichwa au sehemu yeyote mwilini itakayopelekea kufa haraka
  • Kungolewa kucha na meno
  • Kubambikiwa kesi au kutengenezewa ajali
  • Kuitwa msaliti na Bavicha a.k.a misukule a.k.a vifaranga na kukuchangia kutukana
  • Au adhabu zote tano hapo juu
 
Saizi makamanda wamekusanyika makao mapya maskani yao wanapiga viroba wanajiandaa na mkutano.
 
umekubali kuwa kibaraka wa wachaga, ni hatari sana.Itatuchukua muda mrefu sana wasukuma kujitambua na kujisimamia,tutaendelea kuwa matambala ya hawa konokono hadi tutakoma

unapoteza muda na single zako za ukabila ambazo zilishabuma,ukaburu wenu pelekeni lumumba.wasukuma ni watu wanaojiamini na wasiotegemea kubebwa kwa ukabila.pole sana gamba lisilojitambua
 
Saizi makamanda wamekusanyika makao mapya maskani yao wanapiga viroba wanajiandaa na mkutano.

unapoteza muda,hizo siasa zenu nyepesi zilishabuma.wagawa viroba,pombe za kienyeji na wali tunawajua na ndio siasa za maccm.
 
Back
Top Bottom