Adhabu kwa mwana Chadema ukikiuka matakwa ya wenye chama
- Kuvuliwa uanachama bila kujitetea
- Kupigwa tofali la kichwa au sehemu yeyote mwilini itakayopelekea kufa haraka
- Kungolewa kucha na meno
- Kubambikiwa kesi au kutengenezewa ajali
- Kuitwa msaliti na Bavicha a.k.a misukule a.k.a vifaranga na kukuchangia kutukana
- Au adhabu zote tano hapo juu
halitasalia jiwe bila kupinduliwa,wasaliti wote tutawasafisha na kuwatupilia mbali.