Lema, Nassari kufunika kesho Arusha!!!

Lema, Nassari kufunika kesho Arusha!!!

ok-kwasababu agenda zenu zilikuwa za kusubiria makosa ya ccm na kwa kuwa ninyi sasa mmeonyesha udhaifu mkubwa kuliko hata hao CCM(kwa kukosoa ambayo kumbe hata ninyi hamyatekelezi) sijui mtakuja na Agenda gani. Hata hivyo dukuduku letu tungetamani mtutaarifu lini Uchaguzi ndani ya Chama, Lini mtawasilisha kwa CAG mahesabu ya Chama, hatua iliyofikiwa ya Retirement ya 80m alizochukuwa Mbowe kwa ajili ya ununuzi wa vifaa mbalimbali vya M4C(machapisho), ununuzi wa magari ya M4C nje ya taratibu za Tender Board, nafasi ya MSHUMBUSI ndani ya Chama-je ni volunteer, first lady, au consultant na ni nani ambaye huidhinisha malipo makubwa kwa hawala huyu wa Kigogo

hayo yote yalishajibiwa dada yangu..unatamani uwe hawala wa dr.
 
Waulize viongozi wako leo jua lilivyowawakia pale stadium bar..... Walikuwa wanatia huruma sana..... Poor them !!!

Mmewatuma afu wamefeli mbayaaaaaa!


Yani sweetlady nakwambia nimefanya total walipokuwepo pale nikapata walikuwa 25 tu!

Hata na wao kwa kweli hawatarudia kufanya mkutano wowote ndani ya Jiji hili la A town.
 
Last edited by a moderator:
Walaghai wamebakiwa na eneo moja tu,Arusha
 
hivi kwani zitto ni nani????? Chadema bila zitto inawezekana! Mfikishie salamu za upendo...... Mwambie makamanda tupo tunaendelea kujenga chama chetu!

ni naibu katibu mkuu. Hata juzi alikua anajenga chama west zone
 
Kwani LEMA na huyo Muhuni Mwenzake wataongea nini cha maana zaidi ya kusema Zitto ni MSALITI? sana sana Lema ataelezea umuhimu wa Posho kwa wabunge teh teh teh!!!!!

afadhali wamtaje msaliti kuliko waliokuwa wanakata mauno kama mas
 
Last edited by a moderator:
Waulize viongozi wako leo jua lilivyowawakia pale stadium bar..... Walikuwa wanatia huruma sana..... Poor them !!!

Mmewatuma afu wamefeli mbayaaaaaa!

am getting stature against your name my fellow lady, r u sure that u got such taste that ur claiming to av my beautiful mermaid????
 
Hivi nawe leo ulikuwepo kati ya wale wakata viuno 25 pale stadium bar post?
Kha ha ha ha ha haaaaaaa! Eti Chama cha Demokrasia na Maendeleo hawana jipya? Umeona mafisadi ndiyo wana jipya katika miaka 52 ya uhuru tuliyonayo?

Nakuomba Mwenyenzi MUNGU mwingi wa Rehema akitujalia kesho fanya uwezavyo fika kiwanja tajwa na ujionee mwenyewe usije ukasema haikuwa hivi ama hivi.

Unadhani ukiwahidi watu viroba unategemea wasijae uwanjani?kesho nadhani bakuri lenu utasaidia kuizungusha ili kuongeza mapato ya chama
 
Magamba wakisikia makamanda watatoa elimu ya uraia wanabaki macho juu maana wanajua speed ya kifo chao inaongezeka!
 
M/mungu ahimidiwe ! yaan kwa kweli mlijivika ngozi ya kondoo na tukawaamini kiasi cha kutaka kuwapa nchi hivi hivi, sijui tungeponea wapi ? kumbe huu ndio ulikuwa muda wa SLAA na MBOWE kuanza kujirejeshea fedha walizowekeza ndani ya chama_mimi nilijua ni UZALENDO kumbe ni biashara na sasa ndio ilikuwa muda wa KUVUNA (wana SACCOS mnajua mambo ya mboga mboga)-na MSHUMBUSI anajinasibu acha watanue wamesota sana na kuwekeza sana chamani-kweli misukule ni misukule tu
 
Makala Jr-kaka mi nakujua sana uwezo wako na uzalendo wako kwa nchi hii tukiachilia mbalimbali mambo ya ufuasi na ninajua mtazamo wako kihalisia-vijana hawa wanahangaika na MAISHA TU kaka na wala hawana uwezo wa kujenga hoja kufikia kuogopwa, mim ningetamani kusikia sasa wanaendesha SEMINA kwa vijana ili wawe WAJASILIA MALI wazuri kwsbb kama ni KURA tayar wamempa_sasa anaenda kuwatia ubwege tu kwa kuwagawia viroba na na nin-hatuwasidii watanzania kwa namna hiyo bro_tuache ku-capitalise kwenye ujinga wa wananchi wetu-katika kipindi ambacho CCM wana relux kuliko kipindi chochote ni kipindi hiki ambapo Chama kimepoteza mwelekeo na kuweka TRUST kwa watu ambao tabia yao na uwezo wa kufikiri unajulikana sana-hapa ni ISSUE za UKANDA TU ndo zinawabeba vijana hao
 
Last edited by a moderator:
Hakuna Jipya watakalolileta kama kawaida yao, sana sana Mipasho tu, wananchi wa Arusha wameshawachoka hawa wahuni.
Sasa kama wananchi wa Arusha wameichoka chadema, iweje mkutano wa magamba upate watu 25 tu???? Wakati mwingine utumiage akili kidogo.
 
Yani sweetlady nakwambia nimefanya total walipokuwepo pale nikapata walikuwa 25 tu!

Hata na wao kwa kweli hawatarudia kufanya mkutano wowote ndani ya Jiji hili la A town.
LiverpoolFC naona unafurahia kesho VIROBA, UGORO, GOMBA na GANJA sio kitu yakusema taratibu!
 
Last edited by a moderator:
Mwezi uliopita nilikuwa Arusha nakaamua kwenda kujichanganya vijiwe vya Chadema maeneo ya Unga Limited.

Nikakuta vijana wanasimuliana kuhusu Lema wanasema Chadema wakiingia madarakani kila kijana atapewa Toyo nne na kulipwa mshahara kila mwezi.

Mimi nikajifanya mwenzao nikawambia Chadema wakichukuwa nchi vijana wote wa Arusha watakuwa mabilionea wale vijana wakaniambia bro! Wewe kweli ni kamanda tunakuheshimu sana, mie sikutaka kuaacha wapweke maana kesho yake asubuhi nilikuwa nasafiri, nikaamua kuwanunulia supu ya ulimi na viroba walishangilia sana wakaanza kuniita mimi eti bilionea.

Kesho asubuhi makamanda wanakuja Kibo Palace Hotel kuniulizia wanaambiwa jamaa kaondoka asubuhi makamanda walisikitika sana.

Cc; chama THE BIG SHOW
 
Last edited by a moderator:
Mwezi uliopita nilikuwa Arusha nakaamua kwenda kujichanganya vijiwe vya Chadema maeneo ya Unga Limited.

Nikakuta vijana wanasimuliana kuhusu Lema wanasema Chadema wakiingia madarakani kila kijana atapewa Toyo nne na kulipwa mshahara kila mwezi.

Mimi nikajifanya mwenzao nikawambia Chadema wakichukuwa nchi vijana wote wa Arusha watakuwa mabilionea wale vijana wakaniambia bro! Wewe kweli ni kamanda tunakuheshimu sana, mie sikutaka kuacha wapweke maana mchana nilikuwa nasafiri, nikaamua kuwanunulia supu ya ulimi na viroba walishangilia sana wakaanza kuniita mimi eti bilionea.

Kesho asubuhi makamanda wanakuja Kibo Palace Hotel kuniulizia wanaambiwa jamaa kaondoka asubuhi.

Cc; chama THE BIG SHOW
Uongo mwingine bwana niwa kishamba na kitoto...ni kijana gani Arusha asiyemjuwa Ridhiwani kikwete? ??? Vituo vya mafuta unavyomiliki na majengo ya gorofa pale arusha kijana ganu asiyekujuwa? Jifunze kupangilia maneno ya uongo wako otherwise unajiaibisha.
 
Last edited by a moderator:
kila siku arusha hakuna mikoa mingine ya kwenda? kwanini huo muda na hizo nguvu msiwekeze mikoa mingine ambayo muamko sio wa juu kiasi hiko? Tanga, Pwani na mikoa ya kusini.
 
Back
Top Bottom