Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,569
- 12,208
Wazee wa drama...
Si habari nzuri kwa CCM ,ila ndio hali halisi.
CCM imekuwa kama chama pinzani kukabiliana na CDM badala ya kuwaletea maendeleo wa Tanzania.
2015 will tell!Subirieni
Wazee wa drama...
Hakuna Jipya watakalolileta kama kawaida yao, sana sana Mipasho tu, wananchi wa Arusha wameshawachoka hawa wahuni.
Si habari nzuri kwa CCM ,ila ndio hali halisi.
CCM imekuwa kama chama pinzani kukabiliana na CDM badala ya kuwaletea maendeleo wa Tanzania.
2015 will tell!Subirieni
Kwani mkutano wa ole sendeka na chatanda walikuwa na mpya gani? Mbunge kuongea na wapiga kura wake na kuwapa mrejesho wayaliyojiri bungeni ni haki yake ya msingi
Hakuna Jipya watakalolileta kama kawaida yao, sana sana Mipasho tu, wananchi wa Arusha wameshawachoka hawa wahuni.
Mmh, tunaomba updates na picha za kutosha hiyo kesho makamanda!
SIFA ZA MAKAMANDA WA CHADEMA,
1. Kuwa mtiifu kwa mboe na slaa
2. kubali chochote wakisemacho hata kama utumbo
3. usijaribu kuhoji matumizi ya ruzuku kama chacha wangwe
4.mchukie kila anayechukiwa na mboe pamoja na slaa
5.usifungue mdomo pale unapoona katiba inakiukwa na demokrasi ndani ya chama ikiminywa
itaendelea
Baada ya ccm kuambulia watu 23 kwenye mkutano wao wa leo maeneo ya uwanja wa stadium bar ... Mkutano ambao wananchi wa arusha wameufananisha na kikao cha send off....
Pole nyingi kwa Ole sendeka na Mary Chatanda manake wamekuwepo eneo la mkutano toka sa 5 asubuhi bila kuambulia watu wa kuwahutubia! Kilichoshuhudiwa ni wacheza ngoma wakikata mauno ili kuwavutia watu bila mafanikio....... Hii ndio Arusha bwana peoplessssssss ndio habari ya wakaazi wa arusha!!! Hii maana yake ni kwamba arusha bila ccm inawezekana / ilishawezekana!
Chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kitafanya mkutano mkubwa kwenye uwanja wa Ngarenaro kesho kuanzia saa 10 jioni...... Wasemaji wakuu ni makamanda wetu wa ukweli Godbless Lema, Nassari Joshua, Nanyaro Ephata, Amani Golugwa pamoja na makamanda wengine wengi!
Kama kawaida kutakuwepo na makamanda watakaotupatia kwa ufasaha kinachoendelea kutoka eneo la mkutano (live bila chenga).......... Habari ziwafikie Mungi, Crashwise, Arushaone, Filipo, Ben Saanane, Fidel80, Erickb52, Masanilo na wengine wengi!
Kama kawaida arusha ni peoplessssssssss mwanzo mwisho!!
Nawasilisha!
Asante sana SweetyLady kwa taarifa nzuri sana!
Tahadhari!!
DVR Ifungwe kila kona ya uwanja maana magambaz nao watakuja na chinese product kama soweto