YAHERI MUNGU
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 318
- 215
Naamini hile hoja ya ZITTO KABWE ya kwamba vyama vya siasa vifanyiwe ukaguzi wa mahesabu katika matumizi yao na mbaya zaidi alitaka mkaguzi aanze na chama chake cha Chadema kipindi hicho, ili suala hawakulipenda na walianza kumsakama kwa visingizio vingi hadi alipong'oka. Kwa ujumla, wana matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi. Ruzuku wanazopewa, zinatoka serikalini na ni kodi ya watanzania.kwa mwendo huu Chadema itatumia 50 yrs kupata pesa ya kununua kiwanja, kibaya zaidi kwa takribani miaka 2 hawajalipia ofisi za chama kwenye jengo la Bob makani