Lema, Mbunge anayekitia chama hasara

chamilo nicolous

JF-Expert Member
Mar 10, 2016
1,989
1,361
Habari za asubuhi wa JF

Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Lema mbunge wa Arusha ametiwa kizuizini kwa upuuzi wa kukosa hekima. Inawezekana nimetumia neno gumu lakini mtu anaposhindwa kusimamia jambo pasipo sababu au kwa makusudi ni mpuuzi.

Hoja ni hii, jopo la mawakili 6 linalosimamia kesi linalipwa kwa mchanganuo huu:-
posho za kila siku @ 100000*6
gharama za usafiri @ siku 50000* siku kesi itakapo isha.
Ukitafuta jumla ya siku 7 ambayo kesi imetanjwa inafanya Tsh ( 600000*7) +(50000*7)=5.85milions
nakesi bado inatajwa.

Hizi pesa hazikuwa na ulazima wowote wa kutumika kama sii upuuzi wa Godbless Lema kutumia mdomo wake vibaya. Jamaani tulione hili kiuzalendo, ruzuku za chama ni pesa za walipa kodi zinaniuma sana.

CHADEMA tambueni pesa za wananchi ni kwa ajili ya maendeleo, tuzitumie vizuri
 
habari za asubuhi wa JF.
Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Lema mbunge wa Arusha ametiwa kizuizini kwa upuuzi wa kukosa hekima.
Inawezekana nimetumia neno gumu lakini mtu anaposhindwa kusimamia jambo pasipo sababu au kwa makusudi ni mpuuzi.
Hoja ni hii, jopo la mawakili 6 linalosimamia kesi linalipwa kwa mchanganuo huu:-
posho za kila siku @ 100000*6
gharama za usafiri @ siku 50000* siku kesi itakapo isha.
Ukitafuta jumla ya siku 7 ambayo kesi imetanjwa inafanya Tsh ( 600000*7) +(50000*7)=5.85milions
nakesi bado inatajwa.
Hizi pesa hazikuwa na ulazima wowote wa kutumika kama sii upuuzi wa Godbless Lema kutumia mdomo wake vibaya.
Jamaani tulione hili kiuzalendo, ruzuku za chama ni pesa za walipa kodi zinaniuma sana.
CDM tambueni pesa za wananchi ni kwa ajili ya maendeleo, tuzitumie vizuri

Kwani unataka ruzuku itumike kufanya nini kama mikutano imekatazwa?
 
Tupambane Kwa kujadili mambo yahusuyo uchumi,,, nadhani mawakili wapo huko wanaendelea na kazi
 
Na gharama wanazotumia serikali kuendesha kesi hizo, na polisi wakijipanga kuimarisha wanachokiita ulinzi nani anazibeba na kesi hizo zinafaida yoyote kwa umma?
 
je,serikali inapoteza kiasi gani kwa upuuzi wa kufuatilia mambo ya kipuuzi kumfurahisha dikteta?
 
Demokrasia ina gharama kubwa.Maadamu watanzania tumekubali mfumo wa vyama vingi sioni tatizo kugharamia matumizi ya vyama na wanachama wake.
Nitashangaa kama CHADEMA italipia upuuzi wa "kuota" kwa Lema, upuuzi wa kumuotea vibaya Rais.
Na hela hiyohiyo ni ruzuku toka serikalini.
Kama ni kweli basi hata CHADEMA kitakuwa chama cha kipuuzi!
 
pia unaposema na kutaja hizo figure kwa upande mmoja nadhani unakosea je,, jiulize mawakili,,upande wa serikali wanalipwaje?
 
Nitashangaa kama CHADEMA italipia upuuzi wa "kuota" kwa Lema, upuuzi wa kumuotea vibaya Rais.
Na hela hiyohiyo ni ruzuku toka serikalini.
Kama ni kweli basi hata CHADEMA kitakuwa chama cha kipuuzi!
Na serikali inaingia hasara kiasi gani kugharamia mambo ya ndoto za mtu?ujinga mtupu
 
habari za asubuhi wa JF.
Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Lema mbunge wa Arusha ametiwa kizuizini kwa upuuzi wa kukosa hekima.
Inawezekana nimetumia neno gumu lakini mtu anaposhindwa kusimamia jambo pasipo sababu au kwa makusudi ni mpuuzi.
Hoja ni hii, jopo la mawakili 6 linalosimamia kesi linalipwa kwa mchanganuo huu:-
posho za kila siku @ 100000*6
gharama za usafiri @ siku 50000* siku kesi itakapo isha.
Ukitafuta jumla ya siku 7 ambayo kesi imetanjwa inafanya Tsh ( 600000*7) +(50000*7)=5.85milions
nakesi bado inatajwa.
Hizi pesa hazikuwa na ulazima wowote wa kutumika kama sii upuuzi wa Godbless Lema kutumia mdomo wake vibaya.
Jamaani tulione hili kiuzalendo, ruzuku za chama ni pesa za walipa kodi zinaniuma sana.
CDM tambueni pesa za wananchi ni kwa ajili ya maendeleo, tuzitumie vizuri
Hii ni hoja ya msingi sana, hizi fedha ingefaa kujenga miundo mbinu mbalimbali kama vile ofisi etc.
 
Kwa mtazamo wa muda mrefu, aliye kitia chama hasara ni Mh.Mbowe kwa kumleta Lowassa na kumtimua Dr. Slaa. El kaja na mizigo Vingunge, Gu nini taaa, Mr. Ziro na kadhalika na kadhalika. Hasara anayo tia Mh. Lema ni cha mtoto kwenye hili.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom