Lema, Mbunge anayekitia chama hasara

Y

YAHERI MUNGU

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Messages
321
Points
250
Y

YAHERI MUNGU

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2016
321 250
kwa mwendo huu Chadema itatumia 50 yrs kupata pesa ya kununua kiwanja, kibaya zaidi kwa takribani miaka 2 hawajalipia ofisi za chama kwenye jengo la Bob makani
Naamini hile hoja ya ZITTO KABWE ya kwamba vyama vya siasa vifanyiwe ukaguzi wa mahesabu katika matumizi yao na mbaya zaidi alitaka mkaguzi aanze na chama chake cha Chadema kipindi hicho, ili suala hawakulipenda na walianza kumsakama kwa visingizio vingi hadi alipong'oka. Kwa ujumla, wana matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi. Ruzuku wanazopewa, zinatoka serikalini na ni kodi ya watanzania.
 
baina_k

baina_k

Member
Joined
Sep 17, 2016
Messages
10
Points
45
baina_k

baina_k

Member
Joined Sep 17, 2016
10 45
Lema hana hatia yoyote. Ndoto sio kosa. Kwani wewe ukiota baba au mama yako amekufa ukamwambia anakuchukia? Kuweni waelewa. Baada serikali ishugulikie waathirika wa matetemeko wanaangaika na ndoto?
 
Y

YAHERI MUNGU

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Messages
321
Points
250
Y

YAHERI MUNGU

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2016
321 250
Lema hana hatia yoyote. Ndoto sio kosa. Kwani wewe ukiota baba au mama yako amekufa ukamwambia anakuchukia? Kuweni waelewa. Baada serikali ishugulikie waathirika wa matetemeko wanaangaika na ndoto?
Jitahidi sana usome na kuelewa maandiko matakatifu ya Mungu na kuzijua Sheria za nchi halafu angalia matendo ya viongozi wako, utaona ni nani kati ya serikali na wapinzani anamkosea mwenziye.
 
baina_k

baina_k

Member
Joined
Sep 17, 2016
Messages
10
Points
45
baina_k

baina_k

Member
Joined Sep 17, 2016
10 45
Ndoto ni ndoto tu haimchagui raisi au mgambo. Cha msingi hapo ni siasa za gambo zinafanya kazi. Nothing else
 
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Messages
25,091
Points
2,000
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2014
25,091 2,000
Ndugu shida sio cdm
Shida ni hawa wafuasi fuata mkumbo
Hawajui kukosoa
Wao ni ndio tu.
Leo hata ikitokea Leo Mbowe aseme atatumia bilioni 1 kupumzika huko Dubai
Lazima hii mijitu ishangilie !!!

Cdm ina wana chama wa mfano duniani
Hawa walipaswa kuwepo kwenye nyumba za maonyesho
Ni watu wa hovyo sana.

Hawana hata kibanda cha kuku kama ofisi wanayo miliki
Ajabu kupoteza pesa kwa huyu mpuuzi!!!
 
Y

YAHERI MUNGU

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Messages
321
Points
250
Y

YAHERI MUNGU

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2016
321 250
Ndoto ni ndoto tu haimchagui raisi au mgambo. Cha msingi hapo ni siasa za gambo zinafanya kazi. Nothing else
Kama kila ndoto ni ndoto, ebu muulize Lema ni kwa nini asiendelee kukaa huko gerezani kuliko kuja huku uraiani. Na ni kwa nini wasipelekwe watu wengine huko gerezani na awe Lema tu. Watu wote tunaota ndoto, mbona atutangazii umma kuhusu ndoto zetu. Sikiliza vizuri hiyo video halafu uone kama kweli huyo Lema aliota kweli au alikuwa na lake jambo! Sema tu alitaka kutumia ndoto ili kutimiza aja yake.Serikali yetu haina DINI, hivyo haiamini katika ndoto na isitoshe Lema hakusimulia ndoto yake akiwa kanisani. Ni mtu aliyeita waandisi wa habari akiwa amejiandaa kwa kutenda kosa.Kanisani uwa kuna muda watu uenda mbele na kutoa ushuhuda wa jambo flani. Sasa Lema kama kweli alikuwa ameota, angeenda tu kanisani mbele ya mchungaji wake na kutoa ndoto yake na mchungaji angeweza kumpa tafsiri ya ndoto hiyo. Ndoto uwa inatafsiriwa hasa ile ambayo kweli Mungu anataka kuitumia ili jambo flani litokee. Ndoto ya Mungu umtokea mtu kwa namna ambayo mtu huyo hawezi kuelewa na uwepo mtu wa pili ambaye ndiye uweza kutoa tafsiri hiyo.
 
amygdala

amygdala

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
1,080
Points
2,000
amygdala

amygdala

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
1,080 2,000
wale wanaogawana mil 10 kila mmoja badala ya kwenda kujenga shule yao iliobomoka kagera wao hawatii chama chao hasara?
 
B

Bayyo

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,299
Points
2,000
B

Bayyo

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,299 2,000
hao mawakili wanafurahia hiyo ajira, si wanasemaga mteja wao!
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
21,447
Points
2,000
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
21,447 2,000
habari za asubuhi wa JF

Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Lema mbunge wa Arusha ametiwa kizuizini kwa upuuzi wa kukosa hekima. Inawezekana nimetumia neno gumu lakini mtu anaposhindwa kusimamia jambo pasipo sababu au kwa makusudi ni mpuuzi.

Hoja ni hii, jopo la mawakili 6 linalosimamia kesi linalipwa kwa mchanganuo huu:-
posho za kila siku @ 100000*6
gharama za usafiri @ siku 50000* siku kesi itakapo isha.
Ukitafuta jumla ya siku 7 ambayo kesi imetanjwa inafanya Tsh ( 600000*7) +(50000*7)=5.85milions
nakesi bado inatajwa.

Hizi pesa hazikuwa na ulazima wowote wa kutumika kama sii upuuzi wa Godbless Lema kutumia mdomo wake vibaya. Jamaani tulione hili kiuzalendo, ruzuku za chama ni pesa za walipa kodi zinaniuma sana.

CDM tambueni pesa za wananchi ni kwa ajili ya maendeleo, tuzitumie vizuri
pesa ya wajinga ndio inavyopigwa,ajabu ya bavicha wanapohoji jambo lazima waweke neno kodi zetu kutilia mkazo hoja,lakini Lema anapoteza hela zetu wao wapo kimyaaa
 
D

dev senior

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Messages
341
Points
500
D

dev senior

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2012
341 500
Pesa zinazotumika ni za lema mwenyewe......
Chadema hawatoi hata shilingi nyekundu kwenye hizo kesi za lema.....
 
A

Apes

Member
Joined
Nov 20, 2016
Messages
25
Points
45
A

Apes

Member
Joined Nov 20, 2016
25 45
Chadema haiwezi lipa...bora mbowe hajawai enda ujue ashamuota Muota ndoto za kijinga ZOMBI
Nitashangaa kama CHADEMA italipia upuuzi wa "kuota" kwa Lema, upuuzi wa kumuotea vibaya Rais.
Na hela hiyohiyo ni ruzuku toka serikalini.
Kama ni kweli basi hata CHADEMA kitakuwa chama cha kipuuzi!
 
Mwasita Moja

Mwasita Moja

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Messages
2,908
Points
2,000
Mwasita Moja

Mwasita Moja

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2015
2,908 2,000
Majimbo yanayongozwa na chadema mpaka sasa hamna mabadiliko yoyote .

Ni wizi kwa kwenda mbele
 
Ihoyelo

Ihoyelo

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2016
Messages
288
Points
250
Ihoyelo

Ihoyelo

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2016
288 250
Kuna siku umechangia chama mpaka unakuwa kimbelembele kuliko wanaochangia kwa mini hujahoji mlo wa fedha za maafa chama chenye umakini kinajua kama haya yapo kwa hiyo kilishajipanga kuyakabili kwa njia kama hiyo toa ili ufanikiwe uliambiwa mafanikio huja kwa barabara
 
bridalmask

bridalmask

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Messages
2,179
Points
2,000
bridalmask

bridalmask

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2015
2,179 2,000
Hili halihitaji siasa fika ofisi zozote za CDM uulize gharama za mawakili wanao simamia kesi ya Lema na mchanganuo wao, mimi nimejaribu kufupisha, hii sio siasa ni uzalendo tu
Not easy layman best you stay away with ua political propaganda and uchwara of uccm and not necessary once u receive 3/5k u must write or talk pumba as propesa pumba rt??????
Better you know information confidentiality
 
kmbwembwe

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
6,938
Points
2,000
kmbwembwe

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2012
6,938 2,000
habari za asubuhi wa JF

Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Lema mbunge wa Arusha ametiwa kizuizini kwa upuuzi wa kukosa hekima. Inawezekana nimetumia neno gumu lakini mtu anaposhindwa kusimamia jambo pasipo sababu au kwa makusudi ni mpuuzi.

Hoja ni hii, jopo la mawakili 6 linalosimamia kesi linalipwa kwa mchanganuo huu:-
posho za kila siku @ 100000*6
gharama za usafiri @ siku 50000* siku kesi itakapo isha.
Ukitafuta jumla ya siku 7 ambayo kesi imetanjwa inafanya Tsh ( 600000*7) +(50000*7)=5.85milions
nakesi bado inatajwa.

Hizi pesa hazikuwa na ulazima wowote wa kutumika kama sii upuuzi wa Godbless Lema kutumia mdomo wake vibaya. Jamaani tulione hili kiuzalendo, ruzuku za chama ni pesa za walipa kodi zinaniuma sana.

CDM tambueni pesa za wananchi ni kwa ajili ya maendeleo, tuzitumie vizuri
Wao wanaona hela ni ya umma ila imetolewa kwao. Njia nzuri ya kuila hela hiyo ni kupata kesi za kisiasa za kujitakia kwa kuichokoza kuitukana na kuikejeli serikali na viongozi wake.
 
G

Garumondo

Member
Joined
Nov 16, 2016
Messages
12
Points
45
G

Garumondo

Member
Joined Nov 16, 2016
12 45
ukiona amepewa dhamana,nenda ukamsihi aache kuropoka ropoka ovyo
 
Mayonene

Mayonene

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2016
Messages
1,408
Points
2,000
Mayonene

Mayonene

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2016
1,408 2,000
hamkuna
Tuwe wazalendo Lema kabugi, ila kwa kuwa mchuma janga hula na wakwao, inabidi iwe hivo hamna namna
Hakuna alichobugi Lema tuko hapa kimaendeleo ya miaka 50+ kwa sababu serikali yetu kwa sababu ya mentality kama yako. Wakiongezeka watu wa mawazo yako wengine 1,000 wenye mtazamo huo tutakuwa hapahapa tulipo miaka 50 ijayo and this is guranteed..
 
N

Nzinza edward

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2016
Messages
422
Points
250
N

Nzinza edward

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2016
422 250
Hiyo gharama ya mahakama ni zipi kwani kazi zinavyofanywa na watumishi wa mahakama ni waajiliwa wa serikali ukizingatia posho zote zimefutwa na mheshimiwa!
 
juvenile davis

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Messages
4,593
Points
2,000
juvenile davis

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2015
4,593 2,000
Acha ziishie kwa lema tu,maana makao makuu hayajengwi,sas so bora wafaidi hao mawakili
 

Forum statistics

Threads 1,334,263
Members 511,935
Posts 32,471,375
Top