Lema, Mbunge anayekitia chama hasara

Kwa mtazamo wa muda mrefu, aliye kitia chama hasara ni Mh.Mbowe kwa kumleta Lowassa na kumtimua Dr. Slaa. El kaja na mizigo Vingunge, Gu nini taaa, Mr. Ziro na kadhalika na kadhalika. Hasara anayo tia Mh. Lema ni cha mtoto kwenye hili.
CDM kinahitaji mabadiliko makubwa ya kimuundo na kiitikadi laasivyo kitabaki tu kusimamia kesi za kipuuuzi zisizo na manufaa katika kujenga chama
 
Kwa mtazamo wa muda mrefu, aliye kitia chama hasara ni Mh.Mbowe kwa kumleta Lowassa na kumtimua Dr. Slaa. El kaja na mizigo Vingunge, Gu nini taaa, Mr. Ziro na kadhalika na kadhalika. Hasara anayo tia Mh. Lema ni cha mtoto kwenye hili.

Nadhani faida au Hasara ya ujio wa Lowasa inapimwa kwa Kura alizozipatia chama,Wabunge waliopatikana na Ruzuku inayogawiwa kutokana na Matokeo ya Uchaguzi mkuu.Kama ujio wake umepunguza hivyo vitu basi ni hasara lakini kama ujio wake uliongeza hivyo vitu basi ni faida.
 
Nunueni kiwanja mjenge ofisi, angalau makao makuu ya CHAMA

Naamini kutoa elimu ya uraia kwa wananchi ni muhimu kuliko kujenga jengo.Kuna vyama vina maofisi makubwa sana lakini ufanisi hakuna.Matatizo ya watanzania ni zaidi ya ofisi.Ofisi haijawahi kuwa kero ya watanzania.
 
Ubaya wa team Lumumba mkija na Lema threads zitapishana dk 2 mnakurupuka hata mtu wa kawaida ni rahis ku note ni propaganda
hili nalo unasubiri kuoteshwa, hujapewa akili ya kulitazama, haya muulize kibatala na wenzake, wanaishi arusha kwa gharama za nani??
 
habari za asubuhi wa JF

Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Lema mbunge wa Arusha ametiwa kizuizini kwa upuuzi wa kukosa hekima. Inawezekana nimetumia neno gumu lakini mtu anaposhindwa kusimamia jambo pasipo sababu au kwa makusudi ni mpuuzi.

Hoja ni hii, jopo la mawakili 6 linalosimamia kesi linalipwa kwa mchanganuo huu:-
posho za kila siku @ 100000*6
gharama za usafiri @ siku 50000* siku kesi itakapo isha.
Ukitafuta jumla ya siku 7 ambayo kesi imetanjwa inafanya Tsh ( 600000*7) +(50000*7)=5.85milions
nakesi bado inatajwa.

Hizi pesa hazikuwa na ulazima wowote wa kutumika kama sii upuuzi wa Godbless Lema kutumia mdomo wake vibaya. Jamaani tulione hili kiuzalendo, ruzuku za chama ni pesa za walipa kodi zinaniuma sana.

CDM tambueni pesa za wananchi ni kwa ajili ya maendeleo, tuzitumie vizuri

Ni kweli kabisa kuwa huyu mbunge wa Arusha anaitia hasara Chadema kwa upuuzi wake. Mbona wenzie wanafanya siasa zao kwa kufuata utaratibu? Yeye anashindwa nini?
 
Chama kinatumia pesa kwa ajili ya ujinga wa mtu mmoja halafu mpaka sasa ofisi mikoani hazijapata ruzuku ya kujiendesha.
 
Hivi kuna haja ya kuutangazia umma yakuwa umeoto ndoto, maana kila moja anaota ndoto, nionavyo mm siyo ndoto mbali anajaribu kumtisha mkuu wa nchi, basi ngoja aonje utamu wa sero.
 
habari za asubuhi wa JF

Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Lema mbunge wa Arusha ametiwa kizuizini kwa upuuzi wa kukosa hekima. Inawezekana nimetumia neno gumu lakini mtu anaposhindwa kusimamia jambo pasipo sababu au kwa makusudi ni mpuuzi.

Hoja ni hii, jopo la mawakili 6 linalosimamia kesi linalipwa kwa mchanganuo huu:-
posho za kila siku @ 100000*6
gharama za usafiri @ siku 50000* siku kesi itakapo isha.
Ukitafuta jumla ya siku 7 ambayo kesi imetanjwa inafanya Tsh ( 600000*7) +(50000*7)=5.85milions
nakesi bado inatajwa.

Hizi pesa hazikuwa na ulazima wowote wa kutumika kama sii upuuzi wa Godbless Lema kutumia mdomo wake vibaya. Jamaani tulione hili kiuzalendo, ruzuku za chama ni pesa za walipa kodi zinaniuma sana.

CDM tambueni pesa za wananchi ni kwa ajili ya maendeleo, tuzitumie vizuri
UNAFAA KWA MAPISHI YA JIKONI NITAKUPA TENDER, ILA SIYO TAARIFA ZA UPISHI WA PESA ACHA MCHEZO NA PESA HAKUNAGA TAARIFA UCHWARA KAMA ZAKO BAKIA JIKONI TU KWENYE MAPISHI.
COOKING FOOD IS NOT COOKING INFO.
 
tubadike tuwe kenge au mbona mnakuwa na mambo ya kitoto lema ana kosa gani kama siyo uonevu, ili baba Wa mji haonekani ni bora kiongozi
 
Hili halihitaji siasa fika ofisi zozote za CDM uulize gharama za mawakili wanao simamia kesi ya Lema na mchanganuo wao, mimi nimejaribu kufupisha, hii sio siasa ni uzalendo tu
 
tubadike tuwe kenge au mbona mnakuwa na mambo ya kitoto lema ana kosa gani kama siyo uonevu, ili baba Wa mji haonekani ni bora kiongozi
hoja ni kulikuwa na ulazima upi wa Lema kutoa matusi??? au kuna ulazima gani wa CDM kusimamia hii kesi kwa gharama kubwa kiasi hiki, ilihali chama kina changamoto nyingi, akina ata ofisi
 
Niliwahi kulisema hili, kesi zisizo na msingi ndio zenye kutumia fedha nyingi na hukitia hasara chama na wanachama Mhe Lema inapaswa at ambue siasa za kuwaletea manufaa watu wa jimbo lake si hasara kwao fedha hizi hazitoki mifukoni kwao in ruzuku iliyopaswa kuletea maendeleo ndani ya chama na wananchi majimboni.
 
Kuna kesi moja ya wanachadema pale Kisutu iliwahi kutumia karibu milioni kumi.
kwa mwendo huu Chadema itatumia 50 yrs kupata pesa ya kununua kiwanja, kibaya zaidi kwa takribani miaka 2 hawajalipia ofisi za chama kwenye jengo la Bob makani
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom