Hii ni hoja ya msingi sana, hizi fedha ingefaa kujenga miundo mbinu mbalimbali kama vile ofisi etc.
Dunia ya sasa watu wanawekeza kichwani sio majengo.
Hii ni hoja ya msingi sana, hizi fedha ingefaa kujenga miundo mbinu mbalimbali kama vile ofisi etc.
ruzuku ni matokeo ya kodi ya wananchi, mpuuzi mmoja anasababisha wananchi wengi kuumia, hatuwezi kumfurahia, lazima kwa pamoja tukemeeeUmbea tu, kwani hizo pesa zinatoka mfukoni mwako?
CDM kinahitaji mabadiliko makubwa ya kimuundo na kiitikadi laasivyo kitabaki tu kusimamia kesi za kipuuuzi zisizo na manufaa katika kujenga chamaKwa mtazamo wa muda mrefu, aliye kitia chama hasara ni Mh.Mbowe kwa kumleta Lowassa na kumtimua Dr. Slaa. El kaja na mizigo Vingunge, Gu nini taaa, Mr. Ziro na kadhalika na kadhalika. Hasara anayo tia Mh. Lema ni cha mtoto kwenye hili.
Kwa mtazamo wa muda mrefu, aliye kitia chama hasara ni Mh.Mbowe kwa kumleta Lowassa na kumtimua Dr. Slaa. El kaja na mizigo Vingunge, Gu nini taaa, Mr. Ziro na kadhalika na kadhalika. Hasara anayo tia Mh. Lema ni cha mtoto kwenye hili.
Nunueni kiwanja mjenge ofisi, angalau makao makuu ya CHAMAKwani unataka ruzuku itumike kufanya nini kama mikutano imekatazwa?
Nunueni kiwanja mjenge ofisi, angalau makao makuu ya CHAMA
hili nalo unasubiri kuoteshwa, hujapewa akili ya kulitazama, haya muulize kibatala na wenzake, wanaishi arusha kwa gharama za nani??Ubaya wa team Lumumba mkija na Lema threads zitapishana dk 2 mnakurupuka hata mtu wa kawaida ni rahis ku note ni propaganda
yote hii chanzo ni mpuuuzi lema, analopoka kama chokoraaNa gharama wanazotumia serikali kuendesha kesi hizo, na polisi wakijipanga kuimarisha wanachokiita ulinzi nani anazibeba na kesi hizo zinafaida yoyote kwa umma?
habari za asubuhi wa JF
Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Lema mbunge wa Arusha ametiwa kizuizini kwa upuuzi wa kukosa hekima. Inawezekana nimetumia neno gumu lakini mtu anaposhindwa kusimamia jambo pasipo sababu au kwa makusudi ni mpuuzi.
Hoja ni hii, jopo la mawakili 6 linalosimamia kesi linalipwa kwa mchanganuo huu:-
posho za kila siku @ 100000*6
gharama za usafiri @ siku 50000* siku kesi itakapo isha.
Ukitafuta jumla ya siku 7 ambayo kesi imetanjwa inafanya Tsh ( 600000*7) +(50000*7)=5.85milions
nakesi bado inatajwa.
Hizi pesa hazikuwa na ulazima wowote wa kutumika kama sii upuuzi wa Godbless Lema kutumia mdomo wake vibaya. Jamaani tulione hili kiuzalendo, ruzuku za chama ni pesa za walipa kodi zinaniuma sana.
CDM tambueni pesa za wananchi ni kwa ajili ya maendeleo, tuzitumie vizuri
UNAFAA KWA MAPISHI YA JIKONI NITAKUPA TENDER, ILA SIYO TAARIFA ZA UPISHI WA PESA ACHA MCHEZO NA PESA HAKUNAGA TAARIFA UCHWARA KAMA ZAKO BAKIA JIKONI TU KWENYE MAPISHI.habari za asubuhi wa JF
Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Lema mbunge wa Arusha ametiwa kizuizini kwa upuuzi wa kukosa hekima. Inawezekana nimetumia neno gumu lakini mtu anaposhindwa kusimamia jambo pasipo sababu au kwa makusudi ni mpuuzi.
Hoja ni hii, jopo la mawakili 6 linalosimamia kesi linalipwa kwa mchanganuo huu:-
posho za kila siku @ 100000*6
gharama za usafiri @ siku 50000* siku kesi itakapo isha.
Ukitafuta jumla ya siku 7 ambayo kesi imetanjwa inafanya Tsh ( 600000*7) +(50000*7)=5.85milions
nakesi bado inatajwa.
Hizi pesa hazikuwa na ulazima wowote wa kutumika kama sii upuuzi wa Godbless Lema kutumia mdomo wake vibaya. Jamaani tulione hili kiuzalendo, ruzuku za chama ni pesa za walipa kodi zinaniuma sana.
CDM tambueni pesa za wananchi ni kwa ajili ya maendeleo, tuzitumie vizuri
Hili halihitaji siasa fika ofisi zozote za CDM uulize gharama za mawakili wanao simamia kesi ya Lema na mchanganuo wao, mimi nimejaribu kufupisha, hii sio siasa ni uzalendo tuUNAFAA KWA MAPISHI YA JIKONI NITAKUPA TENDER, ILA SIYO TAARIFA ZA UPISHI WA PESA ACHA MCHEZO NA PESA HAKUNAGA TAARIFA UCHWARA KAMA ZAKO BAKIA JIKONI TU KWENYE MAPISHI.
COOKING FOOD IS NOT COOKING INFO.
hoja ni kulikuwa na ulazima upi wa Lema kutoa matusi??? au kuna ulazima gani wa CDM kusimamia hii kesi kwa gharama kubwa kiasi hiki, ilihali chama kina changamoto nyingi, akina ata ofisitubadike tuwe kenge au mbona mnakuwa na mambo ya kitoto lema ana kosa gani kama siyo uonevu, ili baba Wa mji haonekani ni bora kiongozi
Hili halihitaji siasa fika ofisi zozote za CDM uulize gharama za mawakili wanao simamia kesi ya Lema na mchanganuo wao, mimi nimejaribu kufupisha, hii sio siasa ni uzalendo tu
kwa mwendo huu Chadema itatumia 50 yrs kupata pesa ya kununua kiwanja, kibaya zaidi kwa takribani miaka 2 hawajalipia ofisi za chama kwenye jengo la Bob makaniKuna kesi moja ya wanachadema pale Kisutu iliwahi kutumia karibu milioni kumi.