johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,628
- 142,969
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema Mh Lema ameendelea na Utetezi wake kwa vijana na zamu hii amemvaa Spika mstaafu Mh Anna Makinda.
Lema amesema "Anna Makinda anasema Wananchi wafundishwe namna nzuri ya Kucheza Kamari akafundishe Watoto wake"
Lema alikuwa akihutubia Mkutano wa hadhara jijini Mwanza na amedai 80% ya Vijana wa Nchi hii ni Wacheza Kamali. Lema amelia na kusema anakuona Kizazi cha Vita huko mbele.
Source: Yohoma TV