Chama cha kanisa!
Kama kweli wanakufa njaa kwanini serikali isipeleke mahindi ya msaada kama walivyo fanya Igunga? Fikiria kabla ya kujibu hojaJana Lisu alikuwa Mwanza, leo yupo Arusha wakati jimboni kwake wanakufa njaa.
Sifa kijinga.
Mkubwa hapo unakosea (kwenye nyekundu). Our government is decentralised, kuna LGAs na mbunge ni mjumbe wa LGA iliyopo jimboni mwake. Badala ya ku- walk out na madiwani wake, labda wangekaa chini na kujadiliana jinsi ya kuwapatia chakula wananchi wenzao. Charity begins at home, at least be vocal about it!! let the world know about it. Nilipendezeshwa sana aliposimama kidedea kuhusu Barrick gold na Nyamongo killings. Huku marekanwafanyakazi wenzangu walikuwa wananiuliza kuhusu Nyamongo, Magazeti ya Canada, websites zote zilikuwa zikindirima na jina la Lissu lilikuwa everywhere.Kwa maneno mengine ndugu Mzee unatutangazia kuwa chini ya serikali ya CCM kuna watu wanaokufa njaa? Pengine utufafanulie, kwa nini watu wanakufa njaa? Nani mwenye jukumu la kuhakikisha wananchi wanakuwa na chakula cha kutosha? Professor Magembe na wizara yake wanalipwa mshahara kufanya nini?
Mh Lissu is a legislature (mtunga sheria) na sio waziri wa chakula. Na chama anachotoka Mheshimwa Lissu, hakikusanyi kodi. Kama serikali iliyopo imeshindwa kutimiza moja ya majukumu yake ya msingi (kulisha wananchi wake) kwa nini wanang'ang'ania kuendelea kukaa madarakani. Hivi Professor Magembe na CCM nzima wakiitwa waongo na waujaji itakoa kosa? Ni mara ngapi tumewasikia wanasema HAKUNA MTANZANIA ATAKAYEFUKA NJAA?
kila siku arusha,mwanza,tegeta.kwa nini wasije huku kijijini kwetu kikonga?au wanasubiri uchaguzi mkuu wakati wa kampeni.
Jamani JF naomba tujadili hoja inayoletwa jamvini kuliko post moja kujibiwa na watu wengi kiasi kwamba tunapoteza radha ya hoja husika kujadiliwa
Binafsi nawapa BRAVO CDM Ila sasa wakumbuke vijijini mjini wengi wameokoka
Siyo kazi ya Lissu kupeleka chakula jimboni mwake. Mathalani kashafikisha hilo swala la uhaba wa chakula serikalini, kilichobaki ni kazi ya serikali yako. Serikali inavizia sehemu zenye uchaguzi mdogo ndiko inapeleka chakula. Wote tumeshuhudia kilichotokea Igunga wakati wa kampeni wa uchaguzi mdogo, leo hii tunavyozungumza hapa ni kwamba serikali imeacha kusambaza chakula huko Igunga. Inasubiri uchaguzi mdogo mwingine..
Hivi wewe hujui ni nani anayekusanya kodi? Tundu Lissu unataka awalishe wana Singida kwa mshahara wake?
kesho atakuwa kwenye masaburi yako jiandae..
Chama cha kanisa!
magwanda mmezoea matusi. Shika adabu yako.
Jana Lisu alikuwa Mwanza, leo yupo Arusha wakati jimboni kwake wanakufa njaa.
Sifa kijinga.
''Hakuna Mtanzania atakayekufa kwa njaa'' Pinda na magamba walisisiza sana hili Igunga je watu wa Iramba jimboni kwa Lissu sio watz?
watampata nani kijijini!.
Vijijini wapo wazee wenye uwezo wa kufikiria, wanajua wametoka wapi na wanakwenda wapi. Hawawezi kuhamasishwa vurugu.