Lema, Lissu na Nassari washambulia Arusha leo

kWA MJIBU WA KATIBA TULIYONAYO NIKWAMBA IBARA YA NANE INASEMA KAZI YA SERIKALI ITAKUWA NIKULINDA USITAWI WA JAMII.TAFTA MAANA YAKE.CDM KAZI YAKE KUU NIKUHAHAKKSHA INAKAMATA DOLA,CCM NA SERTIKALI YAKE ISIP[OLINDA USTAWI WAWANANCHI UKOMBOZI WA CDM UTAONESHA NAMNA YA MWANANCHI ANAVYOSTAWISHWA.KUMBUKA CDM HAIKO KIJIMBO ZAIDI BALI NIKITAIFA.MBUNGE WA CDM LAZIMA AWE NA SIFA 4 AMBAZO WABUNGE WENGINE HAWANA.
  1. KUWA NA SURA YA KIJIMBO, AONGELEAPO MAMBO YA KIJIMBO
  2. SURA YA KITAIFA, AONGEAPO MAMBO YA KITAIFA
  3. SURA YA KIMATAIFA KTK MAMBO YA MASHIRIKIANO, LAKINI PIA
  4. MBUNGE ANA SURA YA UANADAMU, MAANA YAKE ANATAKIWA KUWA NA MSIMAMO WA KIPEKEE KTK MASUALA ANAYOYAAMINI.
 
Hii mikutano isio na maana itakwisha lini? Mlikuwa mkilalamika kuhusu safari za kikwete sasa naona hawa kina lissu wamemshinda hata Rais kwa safari. Kila kukicha wao ni safari na mikutano lakini mpaka sasa hakuna wanalofanya kwenye majimbo yao. Hizi posho zitawaua hawa wabunge njaa.

mkuu Omr unalinganishaje safari ya Kikwete nje ya nchi na Tindu Lisu ndani ya nchi?
 
Kila siku, utasikia fulani kafunika mbeya, mwanza,Arusha, kili....
Kama mnataka kuuza sera, nadhani mngeanza kushambulia Ntwara, Lindi,Tanga, UNGUJA.....
 
Jana Lisu alikuwa Mwanza, leo yupo Arusha wakati jimboni kwake wanakufa njaa.

Sifa kijinga.

chakula cha msaada kinatolewa na serikali, chakula chote cha msaada walikipeleka igunga sasa lisu atapata wapi chakula cha msaada ?serilali na pesa ya walipa kodi wanatakiwa kupeleka chakula cha msaada kwa wananchi tatizo njaa si ya chamana hii inatakiwa kufanyika bila kuangali lisu ni chadema.
 
Je Lema ameshajenga barabara ngapi za Lami katika manispaa ya Arusha? Kwani mpaka sasa manispaa ya Arusha haina barabara hata moja ya Lami zilizopo zote ni za Serikali kuu chini ya Tanroad.
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, wala hata hujui majukumu ya mbunge ni yapi. Kakwambia nani kazi ya mbunge ni kujenga barabara?Nenda kadoee ubwabwa kwa majuha wenzako.
 
Huyo Lisu anachakula chakuwalisha watu wote jimboni kwake? Hayo majimbo ya ccm yanachakula cha kutosha?Achen Tundulisu afanye kazi yake.acheni majungu.
 
Kila siku, utasikia fulani kafunika mbeya, mwanza,Arusha, kili....
Kama mnataka kuuza sera, nadhani mngeanza kushambulia Ntwara, Lindi,Tanga, UNGUJA.....
Kama upo Canada na mawazo finyu kama haya walah unaiabisha nchi yetu.
 
Chama cha kanisa!

unasema kanisa??? kanisa limejengwa juu ya mwamba, pepo za kuzimu za majini na mashetani hata zivume vipi halitateteleka. kama unabisha muulize ayatollah wa iran au wale wapakistan wanaochinja wakiristo kila siku lakini hawajaweza kulifuta kanisa iran wala pakistan. hata saudi arabia kanisa linashamiri watu wanamsifu Yesu japo siyo hadharani lakini yeye anasoma mioyo yao na anawafariji maana wacha Mungu wa kweli wanamwabudu rohoni
 
Kama upo Canada na mawazo finyu kama haya walah unaiabisha nchi yetu.
Nope!!.... jamaa hawa huwa wanafuatilia hukohuko, na wameshaona hawa wanasiasa wote hawana mpango. Soma makala yawaandishi wao kuhusu madini mkuu. Huna haja ya kuwapa hadithi, wanajua gemu lote..... nyie jioneni wajanja tu.
 
Back
Top Bottom