Lema, Lissu na Nassari washambulia Arusha leo

mkuu soby, pamoja na yote twambi wanasinginda wangapi wamekufa kwa njaa..kikao gani cha halmashauri yake alikikosa kwasababu lisu alikuwa mwanza,arusha...na akiwa arusha anamtumikia nani? mwacheni lisu afanyekazi watanzania wanahitaji ukombozi...
 
watampata nani kijijini!.

Vijijini wapo wazee wenye uwezo wa kufikiria, wanajua wametoka wapi na wanakwenda wapi. Hawawezi kuhamasishwa vurugu.

hii ni hatari kwa watu wenye mawazo kams haya; Kama wanahamasisha mbona raia hawahasiki kote wanako pita au kuwasusia mikutano yao TUMIA THHINKING CAPACITY YAKO KUJADILI MAADA HII
 
Jamani JF naomba tujadili hoja inayoletwa jamvini kuliko post moja kujibiwa na watu wengi kiasi kwamba tunapoteza radha ya hoja husika kujadiliwa

Binafsi nawapa BRAVO CDM Ila sasa wakumbuke vijijini mjini wengi wameokoka

ndivyo hoja Inavyochangiwa.ila mtu anakuja na la kwake, ili mradi tu kuipa uhai thread. mtu akienda op, anashauriwa kutafuta jukwaa la uzi unaoendana na ishu yake. mfano ukitangaza kupangisha vyumba katika thread hii, utaambiwa nenda jukwaa la mtangazo.

Mimi hapa, nahesabika nimechangia thread tajwa hapo juu ingawa sijaigusa tu bali nimekujibu wewe unayelenga kuwafanya watu wasijibu hoja zilizoibuliwa ndani ya thread. hivyo nami nasisitiza kuwa wako sahihi ili mradi tu wanaipa uhai na ladha tofauti mada tajwa.
 
Mh mbunge wa arusha mjini kamanda Lema, mbunge wa singida mashariki Tundu Lisu na aliyekuwa mgombea wa arumeru mashariki Leo wamehutubia mamia ya wanarusha maeneo ya kimandolu na wakafungua matawi Malta ya chadema. Mkutano ulikuwa mkubwa na ki ukweli Arusha imeamka. Lisu Ameichambua katiba, Lema kazungumzia mipango ya maendeleo jimboni hata bila ya halmashauri, Nassari akazungumzia mustakabali wa nchi under ccm na nini kifanyike.

CDM wamekamilika , na wanashambulia kula kona. Wakati hawa wanashambulia Arusha Akina Mdee walikuwa tegeta, slaa skilled manyara.

Je Lema ameshajenga barabara ngapi za Lami katika manispaa ya Arusha? Kwani mpaka sasa manispaa ya Arusha haina barabara hata moja ya Lami zilizopo zote ni za Serikali kuu chini ya Tanroad.
 
Je Lema ameshajenga barabara ngapi za Lami katika manispaa ya Arusha? Kwani mpaka sasa manispaa ya Arusha haina barabara hata moja ya Lami zilizopo zote ni za Serikali kuu chini ya Tanroad.

Masaburi at work !!!! Muulize Meya na halmashauri ya jiji anayoiongoza. Lema ajenge kwa mshahara wake? Serikali ndiyo inayokusanya Kodi za wananchi na ndiyo inatakiwa kuwaletea wananchi maendeleo full stop.
 
Kaka mie namjua sana Barubaru anajua sana mambo ila kavaa miwani ukuta wa zege wala si masaburi ni tumbo lake kachomeka mrija kule KAFU umepitiliza hadi CCM ananyonya so anaona kila kitu ni threat kwa mrija wake ila ana akili sana kasoma vyema sema ukisha kula nyama ya mtu huwezi kushangaa kula utumbo wa nzi .
 
CDM Singida wanajua kazi za mbunge, wakifa njaa wataadabisha serikali inayokusanya kodi yao. Piga kazi Lissu nimeambiwa unasubiliwa Moro na baadae ukatetee waliobomolewa nyumba zao Dodoma.Wapo wabunge CDM wanaopenda sifa za kijinga wamegeuka wasemaje wa serikali ya Magamba lakini sio Lissu.
 
Hii mikutano isio na maana itakwisha lini? Mlikuwa mkilalamika kuhusu safari za kikwete sasa naona hawa kina lissu wamemshinda hata Rais kwa safari. Kila kukicha wao ni safari na mikutano lakini mpaka sasa hakuna wanalofanya kwenye majimbo yao. Hizi posho zitawaua hawa wabunge njaa.
 
mkuu soby, pamoja na yote twambi wanasinginda wangapi wamekufa kwa njaa..kikao gani cha halmashauri yake alikikosa kwasababu lisu alikuwa mwanza,arusha...na akiwa arusha anamtumikia nani? mwacheni lisu afanyekazi watanzania wanahitaji ukombozi...
Ukombozi apeleke kwao kwanza.
 
Jana Lisu alikuwa Mwanza, leo yupo Arusha wakati jimboni kwake wanakufa njaa.

Sifa kijinga.
Tundu Lisu ni mbunge wa chama cha upinzani, sio chama tawala acheni nchi itawaliwe na CDM useme Lisu kashindw\a mkulisha watu wake!!!!!!!!!!!
 
CDM Singida wanajua kazi za mbunge, wakifa njaa wataadabisha serikali inayokusanya kodi yao. Piga kazi Lissu nimeambiwa unasubiliwa Moro na baadae ukatetee waliobomolewa nyumba zao Dodoma.Wapo wabunge CDM wanaopenda sifa za kijinga wamegeuka wasemaje wa serikali ya Magamba lakini sio Lissu.

wabunge gani hao mkuu? Waweke wazi tuwarekebishe siunajua samaki akioza mmoja watz wanaweza kuhukumu kwa kosa la mtu mmoja.
 
Hii mikutano isio na maana itakwisha lini? Mlikuwa mkilalamika kuhusu safari za kikwete sasa naona hawa kina lissu wamemshinda hata Rais kwa safari. Kila kukicha wao ni safari na mikutano lakini mpaka sasa hakuna wanalofanya kwenye majimbo yao. Hizi posho zitawaua hawa wabunge njaa.

Acha kabisa kufananisha vitu visivyofanana. Unajua Wazee wetu(Nyerere,Kawawa,Kambona n.k) walizunguka nchi nzima kuwaambia watanganyika ubaya wa serikali ya kikoloni? Unajua gharama za safari za rais nje na ndani ya nchi? Ni kubwa mara milion ya hizo safari za ukombozi wanazofanya CDM kwa sababu msafara wa rais unakuwa na delegates wengi wakiwemo wafanyabiara mara nyingine wote hao wanahudumiwa kwa kutumia kodi zetu/na misaada ya maendeleo kutoka nje. Tafadhali mkuu fananisha vitu ambavyo vinafanana.
 
Back
Top Bottom