Lema katutapeli shamba aliloomba kwa ajili ya kujenga hospital ya wazazi

Mkuu PakaJimmy unajua ukweli ndani ya moyo wako mdau mkubwa wa siasa za Arusha ni Ngongo lakini kwa mshangao wa wengi umekwepa kunitag badala yake umewatag manazi wa CDM unategemea kupata ukweli ?.Ngoja nikupe kipande kingine ambacho ulikuwa hujui kabisa,hivi unajua mchakato wa kumpata mgombea udiwani kata ya Daraja II Bwana Msofe taratibu za chama ziliwekwa kando kwakuwa mgombea alivuta kidogo dogo toka kwa kamanda wako ?

Hivi unajua mgombea udiwani kata ya Daraja II alifukuzwa kazi TRA kwa makosa ya rushwa na wizi ?.

Hili suala la kiwanja siwezi kushangaa sana Lema ni msanii mzuri ukiingia kwenye kumi nane zake lazima utaumia.Endeleeni kumkumbatia kamanda wenu mwisho wa siku aibu mtaibeba wenyewe.

Crashwise, Mungi, Nanyaro Ephata, Arushaone, sweetlady, Tafadhali leteni taarifa kamili ya suala hili,,,Ninyi ni wafuatiliaji wazuri wa siasa za Arusha!
Usikute huyu ni agent na mfaidika wa mfumo kandamizi!
 
Last edited by a moderator:
Shamba aliloomba lema kwa ajili ya kujenga hospital ya wazazi amejimilikisha kwa jina lake mbali na trector alilosema atawakabidhi wakulima wa terati.hati ya kiwanja hicho ntaiweka hapa nafuatilia hapa muda sio niko halmashauri ya arumeru nafuatilia.

Kwanini unafuatilia Halmashauri ya Arumeru, ina maana Lema anajenga hospitali Arumeru? Kwanini isiwe kwenye jimbo lake la Arusha mjini? very confusing!
 
Mkuu una mambo ya ajabu!
.Ngoja nikupe kipande kingine ambacho ulikuwa hujui kabisa,hivi unajua mchakato wa kumpata mgombea udiwani kata ya Daraja II Bwana Msofe taratibu za chama ziliwekwa kando kwakuwa mgombea alivuta kidogo dogo toka kwa kamanda wako ?

Hapa Logic haiji kabisa...Mgombea alivuta kidogodogo, au LEMA ALIVUTA KIDOGOGODO?..Mkuu naamini hujajipanga sawasawa, kaanze upya.
Nijuacho mimi ni kwamba chama ndicho kilimpitisha mgombea udiwani, na si kwamba Lema walikaa na Msoffe pale Olduvai Bar!

Hivi unajua mgombea udiwani kata ya Daraja II alifukuzwa kazi TRA kwa makosa ya rushwa na wizi ?.

Naamini majina yote yanahakikiwa kabla ya kupitishwa, na kama ingekuwa hivyo mgombea pinzani angeweka PINGAMIZI, na hivyo Msoffe asingebakizwa.
Acha Fitna mkuu mwenzangu...nilitegemea sasa hivi umekubali kuwa ligi zako hazina tija!

By ze way, Leo ni Ijumaa, mzee mwenzangu uko wapi aisee tukae kama kamati?...

Shamba aliloomba lema kwa ajili ya kujenga hospital ya wazazi amejimilikisha kwa jina lake mbali na trector alilosema atawakabidhi wakulima wa terati.hati ya kiwanja hicho ntaiweka hapa nafuatilia hapa muda sio niko halmashauri ya arumeru nafuatilia.

Nendeni mahakamani, acheni umbeya mitandaoni.
 
Mkuu PakaJimmy,

Napenda kukujulisha mgombea udiwani wa CDM kata ya Daraja II aliwahi kufanyakazi TRA kituo chake cha kazi kilikuwa mkoa wa Tanga.Baada ya kutuhumiwa kwa makosa ya rushwa muda mrefu alihamishiwa Ngara kwakuwa hapakuwa na ushahidi wa moja kwa moja.Alipohamishiwa Ngara hakuaacha tabia zake za kuomba na kupokea rushwa akafukuzwa kazi ushahidi upo.

Mwaka huu anagombea udiwani kwa tiketi ya CDM makosa yake yote ya rushwa yametakaswa ?.Halafu mnasema mnataka kuwakomboa waTanzania ?.

Hii ni ........ ya kule kwetu Kiagata,ukivuta bira kura ujue utasema fitu fya kichinga sana mura wetu.Sasa tumia na ire ya Kiagata,Utegi utafua nguo sako sote mura wetu.
 
Mkuu PakaJimmy,

Napenda kukujulisha mgombea udiwani wa CDM kata ya Daraja II aliwahi kufanyakazi TRA kituo chake cha kazi kilikuwa mkoa wa Tanga.Baada ya kutuhumiwa kwa makosa ya rushwa muda mrefu alihamishiwa Ngara kwakuwa hapakuwa na ushahidi wa moja kwa moja.Alipohamishiwa Ngara hakuaacha tabia zake za kuomba na kupokea rushwa akafukuzwa kazi ushahidi upo.

Mwaka huu anagombea udiwani kwa tiketi ya CDM makosa yake yote ya rushwa yametakaswa ?.Halafu mnasema mnataka kuwakomboa waTanzania ?.

Sasa kama walishindwa kuthibitisha mkuu huoni kuwa kuna utata?
Na hapo walipomfukuza walifanya fitna kwa precedence tu!...
Usishabikie mambo ya kiswahili mkuu...kama ungekuwa na evidence ungeshaiweka hapa..lakini majungu tu haya!
 
Jamaa vipi matumaini ya kurudi mjengoni yamefifia nini? Naona njaa kali mtaani sasa anahaha kuuza mali za familia na za jimbo teh teh teh
 
Mkuu PakaJimmy,

Napenda kukujulisha mgombea udiwani wa CDM kata ya Daraja II aliwahi kufanyakazi TRA kituo chake cha kazi kilikuwa mkoa wa Tanga.Baada ya kutuhumiwa kwa makosa ya rushwa muda mrefu alihamishiwa Ngara kwakuwa hapakuwa na ushahidi wa moja kwa moja.Alipohamishiwa Ngara hakuaacha tabia zake za kuomba na kupokea rushwa akafukuzwa kazi ushahidi upo.

Mwaka huu anagombea udiwani kwa tiketi ya CDM makosa yake yote ya rushwa yametakaswa ?.Halafu mnasema mnataka kuwakomboa waTanzania ?.

Sasa kama walishindwa kuthibitisha mkuu huoni kuwa kuna utata?
Na hapo walipomfukuza walifanya fitna kwa precedence tu!...
Usishabikie mambo ya kiswahili mkuu...kama ungekuwa na evidence ungeshaiweka hapa..lakini majungu tu haya!
 
Ikithibitika ni kweli aburuzwe mahakamani tuu!

lakini ikithibika ni uongo mleta maada ale 'ban' ya kufa mtu
 
magamba bwana,kila siku majungu.Ina maana bado hamjapata dawa ya kumdhibiti lema. God bless Godbless Lema.
 
Yan mtu hana ushahidi anaandika tu! Kama una fatilia halmashauri haraka ya nini kuamdika uongo?

Tulia chini uje na ushahidi.
 
Hivi wewe unajua process za kubadilisha hati milika za shamba?! Hivi unafikiri ni rahisi kihivyo kama mnavyouziana VITUNGUU hapo Usa river?

Hii habari kapeleka kwenye vijiwe vya kahawa at least huko they can buy it sio JF a home of GTs

hivi nyie magamba lema kujimilikisha kiwanja kipi cha ajabu nyie mmejimilisha vingapi au mmesahau mlivyojigawia kule njiro na burka?
 
Kama yupo kwenye mioyo ya watu basi wameache tu afanye ufisadi wa shamba la wakazi wa Arusha.

unajua tofauti kati ya shamba na kiwanja kweli..! Lema sio limbukeni mdhanivyo,kama ni kiwanja kipo na huyo ***** alie waambia kua kua kadhulumu ana jipya,ni mfitini tu kama hamuamini mwambieni awape evidence ya hilo shamba na hayo ayasemayo.
 
Hivi nyie magamba mna matatizo gani na lema mbona hata nyie mlijimilikisha hapohapo burka ss hatujasema au Lema kachukua heka kumi?
 
Back
Top Bottom