Lema katutapeli shamba aliloomba kwa ajili ya kujenga hospital ya wazazi

LENGIO

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
1,096
508
Shamba aliloomba lema kwa ajili ya kujenga hospital ya wazazi amejimilikisha kwa jina lake mbali na trector alilosema atawakabidhi wakulima wa terati.hati ya kiwanja hicho ntaiweka hapa nafuatilia hapa muda sio niko halmashauri ya arumeru nafuatilia.
 
Ukishaweka source nitarudi kujadili. Lakini kwa sasa naacha kama umbea wa kawaida.
 
Shamba aliloomba lema kwa ajili ya kujenga hospital ya wazazi amejimilikisha kwa jina lake mbali na trector alilosema atawakabidhi wakulima wa terati.hati ya kiwanja hicho ntaiweka hapa nafuatilia hapa muda sio niko halmashauri ya arumeru nafuatilia.
Usiweke hati ya kiwanja tu, weka na hati inayoonyesha kuwa sasa Lema ndiye mmiliki wa shamba hilohilo...vinginevyo utakuwa unatumika kinyume na na na ukweli!
 
Jamani hii huu ufisadi utaisha lini Lema ebu jaribu kuwa na roho ya huruma rudisha shamba la wana Arusha
 
Shamba aliloomba lema kwa ajili ya kujenga hospital ya wazazi amejimilikisha kwa jina lake mbali na trector alilosema atawakabidhi wakulima wa terati.hati ya kiwanja hicho ntaiweka hapa nafuatilia hapa muda sio niko halmashauri ya arumeru nafuatilia.

Umetumwa?
 
Jamani hii huu ufisadi utaisha lini Lema ebu jaribu kuwa na roho huruma rudisha shamba la wana Arusha.
Mtu na akili zake, bila kutumia hata dakika mbili kuwaza keshaamini kuwa ni kweli jambo hilo limetokea...my hairs!
Ni kama ile reaction ya Ikulu juu ya Ighondu!
Anyway, tutafika tu!
 
kasema Lema tu,kuna Lema wengi sana hapa TZ,be specific ni lema yupi na utoe source ya taarifa zako,hatutaki wambea JF
 
Shamba aliloomba lema kwa ajili ya kujenga hospital ya wazazi amejimilikisha kwa jina lake mbali na trector alilosema atawakabidhi wakulima wa terati.hati ya kiwanja hicho ntaiweka hapa nafuatilia hapa muda sio niko halmashauri ya arumeru nafuatilia.
Ebu nipe ufafanuzi maana naona kama taarifa yako ina hitilafu1. Mtu anapoomba shamba huwa ni kwa ajili ya kujenga au kulima?2. Lema alikuwa mbunge wa Arusha mjini au Arumeru?3. Hicho kiwanja kipo Arumeru au Arusha mjini?4. Unapozungumzia wazazi ni akina mama wanaojifungua au Jumuiya ya wazazi?5. Kama ni Jumuiya ya wazazi ninavyojua mimi ipo ndani ya CCM Lema anahusika vipi na jumuiya hiyo?6. Unaweza kutuwekea hatia ya kiwanja na ikaonyesha jina la Lema, Je tutakuwa na uhakika gani na taarifa yako? inawezekana lengo lako ni kumchafua tu na hicho kiwanja ni mali yake.
 
Jamani hii huu ufisadi utaisha lini Lema ebu jaribu kuwa na roho ya huruma rudisha shamba la wana Arusha
Leo huendi kuandamana?
wenzako wameshanoa majambia yao....au hako kaposho ka NAPE kanakutosha huna hasira na kukamatwa kwa Mhalifu Ponda?
 
Naona Wapuuzi wameanza kazi yao humu........!!!!

Wapuuzeni.....after all leo kuna movie kali sana tunangoja mida ifike tuiangalie....! stay tuned
 
Leo huendi kuandamana?
wenzako wameshanoa majambia yao....au hako kaposho ka NAPE kanakutosha huna hasira na kukamatwa kwa Mhalifu Ponda?

Mie nasubiri maandamano ya Dr Slaa, tutakuwa wote au wewe utakuwa umejificha nyuma ya Laptop.
 
Back
Top Bottom