Lema katutapeli shamba aliloomba kwa ajili ya kujenga hospital ya wazazi

Sasa unapost huku tukusaidie nini? nadhani hili ni suala la mahakama, nakushauri mtafute Alute Mughway mkafungue kesi ya kutapeliwa JF hakuna jukwaa la mahakama, peleka unafiki wako huko kibaraka mkubwa wa wanyonyaji wa taifa hili.
 
Mtu na akili zake, bila kutumia hata dakika mbili kuwaza keshaamini kuwa ni kweli jambo hilo limetokea...my hairs!
Ni kama ile reaction ya Ikulu juu ya Ighondu!
Anyway, tutafika tu!

Kila thread ungekuwa unahoji hivi JF ingekuwa mbali au wewe unahoji kwa Lema tu...mwambie arudishe kiwanja...Dr Ngongo, popote ulipo heshima mbele.
 
Last edited by a moderator:
Jamani hii huu ufisadi utaisha lini Lema ebu jaribu kuwa na roho ya huruma rudisha shamba la wana Arusha

Vipi Mkuu, leo tutaenda saa ngapi kuchoma makanisa na kuiba sadaka na computer?
 
Jamani wafitini wa arusha,....hivi kwanini hamtaki kuamini kua LEMA yupo kwenye mioyo ya watu?.??? Ni ufitini tu,LEMA mtu makini sana.ngoja tusubiri hiyo document yake iliyokaa kibatilda.
 
Sasa unapost huku tukusaidie nini? nadhani hili ni suala la mahakama, nakushauri mtafute Alute Mughway mkafungue kesi ya kutapeliwa JF hakuna jukwaa la mahakama, peleka unafiki wako huko kibaraka mkubwa wa wanyonyaji wa taifa hili.

Ukiwa mfuasi wa Chadema sijui kwa nini unakuwa na upofu, Lema aliomba shamba kwa ajili ya kujenga hospitali ya wazazi, watu wanahoji mbona hakuna hospitali na kiwanja kajimilikisha, wakazi wa Arusha wanaitaji kujua shamba lao.
 
Kila thread ungekuwa unahoji hivi JF ingekuwa mbali au wewe unahoji kwa Lema tu...mwambie arudishe kiwanja.
144.jpg
 
Jamani wafitini wa arusha,....hivi kwanini hamtaki kuamini kua LEMA yupo kwenye mioyo ya watu?.??? Ni ufitini tu,LEMA mtu makini sana.ngoja tusubiri hiyo document yake iliyokaa kibatilda.

Kama yupo kwenye mioyo ya watu basi wameache tu afanye ufisadi wa shamba la wakazi wa Arusha.
 
Jamani hii huu ufisadi utaisha lini Lema ebu jaribu kuwa na roho ya huruma rudisha shamba la wana Arusha
nijuavyo mimi Lema ni ukoo ,kama ilivyo mushi ,massawe,nkya,swai nk.Huyu ni lema gani
?
 
Ukiwa mfuasi wa Chadema sijui kwa nini unakuwa na upofu, Lema aliomba shamba kwa ajili ya kujenga hospitali ya wazazi, watu wanahoji mbona hakuna hospitali na kiwanja kajimilikisha, wakazi wa Arusha wanaitaji kujua shamba lao.

sasa kama mnauliza si mkamuulize Lema? kwani yupo mafichoni kama Ponda? si kila siku unasikia yupo kwenye mikutano ya hadhara? by the way bado nakushauri mkafungue kesi ya kutapeliwa humu huwezi pata jibu wala kiwanja au mnataka muandamane kama kina Ponda kudai kiwanja cha waislamu walichouza wenyewe?
 
Back
Top Bottom