Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku
wajishuku HK mwaka huu unalo embu nnong'oneze mwenye jina hili mlimalizanaje?CV ya nani hii? Mimi tena au?
Wewe uliyepata div 1 una msaada gani kwa vijana na taifa.
Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku
Naona mkuu unajitahidi sana kunitafuta...sasa umeamua kunitukana kabisa. Ahsante. Hiyo ni dalili mahsusi ya kuonesha kuwa umeshindwa kujenga hoja! I am never shaken with people like you...
samahani ntapenda nikuite jina lako halisi,bw Said,ina maana munavyozomea bungeni ni dalili za kushindwa hoja?nakushauri said kaa kimya kama wenzako unaidhalilisha ccmNaona mkuu unajitahidi sana kunitafuta...sasa umeamua kunitukana kabisa. Ahsante. Hiyo ni dalili mahsusi ya kuonesha kuwa umeshindwa kujenga hoja! I am never shaken with people like you...
Ni aibu kubwa kwa chama kinachojidai kuwa kina hazina ya wasomi kuwa na mtu kama lema. kaka unawaomba cv unadhani watakupatia? siyo cv yakutizamika.
Ndiyo maana Makinda anasema bunge limevamiwa na vijana mnaji proud sana, siamini mtu na busara zake anaweza kusema uliyoandika next time acha wengine wa kujaji kuliko kujipa marks mwenyewe. Ni mlevi tu wa klabuni anaweza kusema anaongea kingereza kizuri kuliko walevi wenzake.Hivi ulinisikia nilipoongea kiingereza kule Bungeni? Ulisikia 'broken english' pale hata kidogo? Na hapo kwenye hiyo sentence umeona kitu gani kimekosewa? Hebu sahihisha sasa wewe tuone! Japokuwa naongea na naandika english nzuri sioni fahari sana, kwani mimi ni mnyamwezi na mswahili na ninapenda na ninasikia fahari zaidi kuongea kinyamwezi na kiswahili!
Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku
shukran igunga wameachiwa agenda za kujadili, wa2 wanalaani ccm, hasa vijana walimpongeza lema kwa pikipiki aloitoa ili kuimarisha cdm vijijinsafi sana..........warudishe wote...........na tunakushukuru sana kwa coverage yako mkuu........Mungu akubariki sana
Kilaza hata akibebwa habebeki,
WAMA/Ikulu wamekubeba ukapata ubunge nzega, umeitisha maandamano kwenda mgodini resolute wananchi hawakujitokeza baada ya kugundua janja yako kwamba unawapotezea muda kwakuwa serikali yako ndiyo imewagawia bure mgodi tena bila kuzingatia maslahi ya wananchi wa nzega. kama Lema anaweza kutoka arusha akaitisha maandamano nzega wananchi wakajitokeza kwa wingi kumsikliza na wakati huo huo wananchi hao hao hawajitokezi kumsikiliza "mbunge wao" huoni hata aibu japo kidogo??
Hata nilipokuona ukitoa maoni kuhusu mswada wa mapitio ya katiba 2011 pale startv na kitu ulichoandika hapa ni uthibitisho tosha kwamba nzega wamelamba galasa, wasubiri tu 2015 kutafuta muwakilishi mwingine. Sijui kama hadi 2015 wama/jk watakuwa na uwezo wa kukubeba tena!!
Naona mkuu unajitahidi sana kunitafuta...sasa umeamua kunitukana kabisa. Ahsante. Hiyo ni dalili mahsusi ya kuonesha kuwa umeshindwa kujenga hoja! I am never shaken with people like you...
Naona mkuu unajitahidi sana kunitafuta...sasa umeamua kunitukana kabisa. Ahsante. Hiyo ni dalili mahsusi ya kuonesha kuwa umeshindwa kujenga hoja! I am never shaken with people like you...
Arusha tunahitaji maendeleo kupitia mabadiliko ya kweli siyo kutuletea popularity kwa kuanzisha vurugu kila kona ya nchi. Kiongozi mzuri huanza home. Mh. Lema una2miwa vibaya na sisi watu wa jimboni mwako niwaelewa sana na watu kimya kimya katika mamuzi. Usipowacha ujinga hautoamini changes...
big up Lema!
Nilicheka sana EATv kipindi cha skonga wanafunzi wanane walishindwa kujibu NANI MAKAMU WA RAIS TZ ila sita kati yao waliweza kujibu walipoulizwa nani mbunge wa ARUSHA
Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku
Hivi ulinisikia nilipoongea kiingereza kule Bungeni? Ulisikia 'broken english' pale hata kidogo? Na hapo kwenye hiyo sentence umeona kitu gani kimekosewa? Hebu sahihisha sasa wewe tuone! Japokuwa naongea na naandika english nzuri sioni fahari sana, kwani mimi ni mnyamwezi na mswahili na ninapenda na ninasikia fahari zaidi kuongea kinyamwezi na kiswahili!
Nadhani wewe sio mkazi wa Arusha, hujui ukweli hata kidogo. Ndani ya siku 90 za kuwa ofisini lema ameanzisha taasisi ya Arusha Development Foundation akiwa na makamanda wengine kama Nassari aliyegombea Arumeru Mash. Kwa taasisi hii lema amepeleka shule watoto 417 wasiojiweza wa Arusha na wote wamepatiwa bima za afya tena with private companies. Lema amepeleka watu Loliondo wasiojiweza kiuchumi, lema amewaingizia watu wa arusha spirit ya kiharakati sasa wanajua kudai haki zao. Lema ameanzisha asasi ya kutoa mikopo kwa wafanyabiashara wadogo wakinamama wa arusha kupitia ile pesa aliyopewa ya mkopo wa gari bungeni. Ni mbunge gani mwingine Tanzania ameshafanya haya?????? usikurupuke mkuu, ukiwa unaongea uwe na facts