Huyu ndiye mbunge, 'Those they come and go' nimetambua kwa nini wabunge wa CCM walikuwa wanalazimisha kuhojiwa kwa kiswahili.
Duh, hiki chama chenu kazi kwelikweli! Chama kinaongozwa na umaarufu wa mtu, kilianza na Mbowe na helikopta zake, baadaye Zitto na Buzwagi yake, Slaa na ufisadi, sasa Lema na Mauaji yake ya Arusha...sijui hawa wakihama au wakisaliti kutatokea nini?
Hamjifunzi tu? Tengenezeni mfumo na mjenge misingi ya chama chenu na siyo kutegemea characters/personalities! Those they come and go...
Hakuna think tanks huko wakawashauri? Tumieni hata ruzuku basi mtafute consultant basi awashauri!
Heee! Mkuu sema kweli, huyu ni mbunge?! Hii sura niliiona juzi kati inaongea utumbo StarTv. Halafu ni dr, walahi hawa ndo wale una malaria anakupasua kichwa. Anayebisha amuulize huyu lile swali lililomshinda m-kwere (kwa nini Tz ni maskini)...Huyu ndiye mbunge, 'Those they come and go' nimetambua kwa nini wabunge wa CCM walikuwa wanalazimisha kuhojiwa kwa kiswahili.
Nilishasema siku zote,wenye taaluma za mashaka...usalama wao wa kisiasa upo CCM
Nilishasema siku zote,wenye taaluma za mashaka...usalama wao wa kisiasa upo CCM
ni nani huyu katika maslahi ya taifa.?
Naombeni CV yake.
Duh, hiki chama chenu kazi kwelikweli! Chama kinaongozwa na umaarufu wa mtu, kilianza na Mbowe na helikopta zake, baadaye Zitto na Buzwagi yake, Slaa na ufisadi, sasa Lema na Mauaji yake ya Arusha...sijui hawa wakihama au wakisaliti kutatokea nini?
Hamjifunzi tu? Tengenezeni mfumo na mjenge misingi ya chama chenu na siyo kutegemea characters/personalities! Those they come and go...
Hakuna think tanks huko wakawashauri? Tumieni hata ruzuku basi mtafute consultant basi awashauri!
Wewe mjinga tu kama hao wajinga wenzako kwani wewe ulitakaje??!!! kwani kuna ubaya gani kudunda mafisadi kadhaa ikibidi???!!! Huna maana eti watanzania walikerwa!! unauhakika na unachoongea?Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku
Mhe. Kigwangalla sasa unaanza kuharibu, sikutaka kuchangia katika hoja hii hata kidogo ila kwa kuanza kutoa comment kama mtoto wa darasa la kwanza au la pili unanifanya nianze kudoubt uelewa wako na elimu yako kwa ujumla, siasa si kuongea point kuwa nitafanya 1, 2,3 la hasha ni pamoja na kuvumbua vitu vilivyofichika kama hayo uliyosema kuhusu viongozi wa CDM, pili wanasiasa wengi duniani wamefanikiwa sana kwa style ya kudai haki inayomilikiwa na wanyanganyi kama CCM, sina haja ya kutoa mifano wewe upo CCM na unajua mnachojivunia kuhusu ukombozi wa bara la Afrika, sijui kama ulikuwa bila umwangaji wa DAMU... yaani umenifanya nikuone kuwa wewe ni KILAZA WA SIASA kuliko VILAZA WOTE NILIOPATA KUWAONA.
Kama CDM wanakuandama kuhusiana na jinsi ulivyopata elimu yako, wewe toa fact kwamba siyo kweli, ni rahisi sana sina haja ya kwenda huku kama vipi wewe kaa kimya subiri kama watakwenda mahakamani.
Otherwise nakushauri uangalie jinsi gani ya kuwasaidia wana Nzega wezako na Tabora kwa ujumla, hali ya Nzega na Tabora kwa ujumla ni mbaya sana, hasa kwenye infrastructure, maji, elimu etc sehemu kubwa ya jimbo lako watu wana shida na matatizo mengi jipange kuyatatua na wala si kubishana na wa JF, wapo makini na tunaijua nchi hii ndani nje.
Nafikiri ni vizuri ukatumia pesa zako za ubunge kutafuta consultant wa kukusaidia kuwainua kiuchumi wanazenga wezako badala ya kukaa na kuidiscuss CDM.
wewe ni mjinga tu kama hao waliokutuma, Sasa wewe ulitakaje? ikiwa mafisadi kadhaa wakishushiwa kifinyo wewe kinachokuuma ni nini? au wewe ni mtoto wa mmoja wa hao mafisadi? Sisi watanzania hatuja kerwa chochote ila tumefurahishwa na uchungu wa vijana kwa nchi yao maana hawataki kuburuzwa na mafisadi!!!!Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku
mkuu pole kwa kazi kubwa na nzuri uliyofanya kumshauri mwendawazimu akaelewa
Wewe uliyepata div 1 una msaada gani kwa vijana na taifa.CV yake: amemaliza kidato cha nne. Alipata divission four point 29
CV yake: amemaliza kidato cha nne. Alipata divission four point 29
Those they come and go...