MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,330
- Thread starter
- #41
Duh atakamatwa kwa kufanya mkutano pasi kibali
Hii itakuwa ngumu kwani Polisi hawataruhusiwa kuingia ukumbi wa harusi pasina kuwa na kadi ya mwaaliko. Hii Polisi wakiingia sana ni kuingilia masuala ya kifamilia kwani harusi ni sherehe za ndugu na familia zao halafu ujue watu wamechangia na wanahitaji kusheherekea na siyo kubughudhiwa.