Huo ni uvunjwaji wa sheria za Vyama vya Siasa, huyo Lema itabidi aripotiwe kwa Tendwa kwa kutumia jukwaa la sherehe kuingiza wanachama. Nyie CDM nawashangaa tukio hilo mnashangilia ingekuwa CCM imefanya hivyo, MNGESEMA NO!
Mkuu tuwekee picha kama hauta maidiJana ktk Ukumbi wa Bajeti huko Mbezi katika Sherehe za Harusi Mh. G. Lema alifanya kitu ambacho ni nadra kufanywa ktk tasnia ya Siasa pale alipowakaribisha waalikwa wa harusi kujiunga na CHADEMA. Ktk hali isiyokuwa ya kawaida mamia ya waalikwa waliitikia wito na kwenda mbele alipo Lema kupokea kadi za uanachama na kupanga mstari unaofanana na ule wa kutoa zawadi kwa maharusi.Huku CC-Magamba wakibaki na strategy za zamani za kuongeza wananchama CDM wanatumia kila opportunity kuhakikisha kwamba kila mtanzania anafunguliwa kutoka kongwa la utumwa wa ki-CC-Magamba wakati na mahali popote kwa kutumia mbinu ambazo itawachukua CC-Magamba karne kuzi- adapt. Hongera saaana G. Lema Keep it up na endelea kubiringisha gurudumu la CDM nasi tuko nyuma.
Nasikia mpaka makaburini siku hzi chadema wanatafuta wanachama
Vipi maandamano kwenye harusi yalikuwepo?
Huo ni uvunjwaji wa sheria za Vyama vya Siasa, huyo Lema itabidi aripotiwe kwa Tendwa kwa kutumia jukwaa la sherehe kuingiza wanachama. Nyie CDM nawashangaa tukio hilo mnashangilia ingekuwa CCM imefanya hivyo, MNGESEMA NO!
CC-magamba nimeipenda sana hyo,ila lema anatakiwa kuwa makini kwani hawakawii kumbambikia kesi kwa kuitisha mkutano wa siasa bila kibari cha polisi
Ujasiri mwingine ni hatari,hata kama chama kina mvuto kwa wananchi,lakini sheria na taratibu tulizojiwekea lazima zifuatwe,binafsi nasema NOOO.Lema be careful.
Hakuna mwenye ujasiri huo CCM ndugu yangu! Hata pale ukumbini hali ingekuwa tete kwa kusoma tu fikra za watanzania zilivyo kwa sasa, ukitaja CCM subiri linalofuatia...
yatawashindaNasikia mpaka makaburini siku hzi chadema wanatafuta wanachama