hongereni majaji kwa uamuzi wa busara,ni heri kumrudisha karunguyeye lema kuliko kupoteza fedha za walipa kodi kwa kurudia uchaguzi arusha.
Nshaaga na job kbs ndio nagonga ya nne then nikapande precision nije a town:target:put huonekani kwenye hii tread kabisa ... au uko baa unaipongeza
Hahahaaaaaaa!!teh!teh!wamekuwa wadogo kama aspirin[/QUOTE
Mbona asprin kubwa, wamekuwa wadogo kama piriton mdau
Aaaaah nimeukumbuka,unaimbwa hivi:
moja mbili tatu!!! Lema karuka ruka kaleta vurugu,Lema karuka ruka kapelekwa lupango,Lema karuka ruka hakuna alichokifanya Arusha lakini Lema alipopigwa ban na mahakama barabara,maji,jiji,maendeleo Arusha vilipatikana ....
Mwongo wewe.
Lakini naongeza: Utukufu kwa Bwana Mungu kwa kuwa ameifanya haki itendeke.