Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

TBL please ongezeni supply ya kutosha bar zote hapa Arusha tukitoka makazini tunahamia hukoo
 
Hapo kwenye red, muwe mnafikiria kwa uangalifu hata kama hamuipendi CCM!!!! Siyo kweli kwamba CCM ndo wanastahili kulipa gharama za kesi...... Anayestahili kulipa ghama za kesi ni yule aliyefungua kesi!!!! Kama ulivyoripoti kwenye picha, hao kina mama waliofungua kesi ndo watalipa gharama. Sahihisha hapo....

kwani hao kinamama na hiyo mijitu mingine walitumwa na nani, makamba alitoa maagizo mchana kweupee tena kwa press conference kwamba kesi za kupinga matokeo zifunguliwe na ccm itagharamia

sahihisha bandiko lako
 
sawa mkuu lakini unadhani walijituma hao!!??

Uliposema "CCM wameamriwa kulipa gharama za kesi....." ulikuwa as if ndo statement ya hukumu inavyosema... kitu ambacho si kweli. Suala la kutumwa ama kujituma wewe huwezi kulijua.....Usiwe suspicious kwa jambo ambalo halina ushahidi.
 
Lema is back.Sasa CCM wana kibarua tena.Waziri Mkuu alidnaganya bunge, kila mtu alisikia hoja za Lema na ilikuwa wazi waziri mkuu alidanganya, ama kw akupenda au kwa kutojua ila alidanganya na alikuwa na kiburi kibaya ktk majibu yake.Je kajiandaa kung`atuka?

Na aking`atuka CCM na baraza la mawaziri kuvunjwa, je CCM wanaye tena wabunge wa kutosha kuwa mawaziri?Au watahitaji kuwarudisha hao hao?

Sijui kama CCM wa pa kutoke aili nchi itawalike.
 
husilolijua huwa nizaidi hata ya usiku wa giza.

nimependekeza kwenye katiba mpya majaji wawe wanaapply kama kazi nyingine tunavyoapply maana ni wazi kama alivyokuwa akidai mheshimiwa lema kuwa hukumu ile ya arusha ilikuwa motivated na mkulu wa pale magogoni,
nimependekeza pia mkuu wa takukuru, wa tume ya uchaguzi na wakurugenzi wa wilaya wote kazi zao ziwe zinatangazwa na tuna apply na kukompete mshindi ndo anapewa post,
duh ccm sijui kama watakubali maana usalama wao ni hao watu
 
Lema is back.Sasa CCM wana
kibarua tena.Waziri Mkuu alidnaganya bunge, kila mtu alisikia hoja za
Lema na ilikuwa wazi waziri mkuu alidanganya, ama kw akupenda au kwa
kutojua ila alidanganya na alikuwa na kiburi kibaya ktk majibu yake.Je
kajiandaa kung`atuka?

Na aking`atuka CCM na baraza la mawaziri kuvunjwa, je CCM wanaye tena
wabunge wa kutosha kuwa mawaziri?Au watahitaji kuwarudisha hao hao?

Sijui kama CCM wa pa kutoke aili nchi itawalike.

Mkuu usipoteze muda kujadiri wagonjwa. na washukuru Global Fund kwa kutoa dawa bure....
 
mambo mazuri huhitaji kutopayuka payuka hovyo, kuwa na hekma , subra na uelewa wa hali ya juu. Hongera Chadema ni ushindi wa watanzania wote. Kina Nape na Nchemba vijana wapotofu hao hawana lolote, kutuharibia tu nchi yetu nzuri
 
There are currently 3659 users browsing this thread. (1140 members and 2519 guests)
 
Masalia wote na mfadhili wao vichwa chini.Wanadhani wanaweza kutumia uchawi kupambana na Mungu.

Lema alishasema haogopi mwanadamu yeyote na anamtegemea tu Mungu.

Masalia walishalalamika sana kwamba Lema afukuzwe ujumbe wa kamati kuu ya CDM.Sasa Mungu kawajibu.

Masalia na kiongozi wenu leo mkajipange upya.
 
kwani hao kinamama na hiyo mijitu mingine walitumwa na nani, makamba alitoa maagizo mchana kweupee tena kwa press conference kwamba kesi za kupinga matokeo zifunguliwe na ccm itagharamia

sahihisha bandiko lako

Be specific...... Aliyeripoti taarifa hii alikuwa akituletea ujumbe jinsi mahakama ilivyosema.... Je, katika hukumu ya mahakama ya rufaa, kuna sehemu CCM wameamriwa kulipa gharama? Na je, na hao kina mama wanaiwakilisha CCM ama ni wake zake makamba walikuwa wanamuwakilisha?Kwenye hati ya mashitaka CCM ndo walikuwa walalamikaji? Na kwa nini unamtaja Makamba? Kuwa realistic!!! Sema ama ripoti kama statement ya hukumu inavyosema na acha kupotosha umma ama kutuaminisha kitu ambacho hakipo!!!! Ina maana hayo maneno unayosema ya chuki kwa mfano, unataka niamini ukisema wewe na mkeo kayasema hayohayo? Nitakuwa niko sahihi????? Think twice acheni chuki na CCM inayowalea mpaka sasa mnapata nguvu za kuitukana.
 
ccm my foot ... koma kabisa wewe bolizozo, kama unalelewa na ccm its your dam punishment

i will never ever in my life put an eye view on ccm .... come rain come sun ccm is useless in my daily life

i can see you are very happy and enjoy life out of looted national wealth
 
Tetesi eti wamekata tena rufaa.

Acha ujinga wewe!!!! Kichwa chako kina vumbi maana hata sheria huzijui. Huwa hakuna rufaa nyingine (kwa Tanzania) baada ya Mahakama ya rufaa kutoa hukumu!!!!!! Rudi darasani ukasome tena.....Yaani nataka kukupa elimu kidogo kwamba haka kama kweli umezisikia hizo tetesi, unge zi-ignore maana hakuna kitu kama hicho kwa hapa Tanzania.... Usiamini kila unalolisikia kisha ukajaribu kulifanya ni issue ya ku-draw attention za watu au kuonekana na wewe ni mtu wa kupata taarifa kabla ya wenzako... Sifa za kijinga hizo..
 
Back
Top Bottom