Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,888
Hongera na wewe kwakuwa muungwana..... na kuandika vizuri.
Huyo jamaa yako Riz 1 niliahidi humu kutochangia chochote toka kwake, ila nataka nimhakikishie kuwa ni kweli J.K ameingilia hii case, kabla ya hukumu hii, iliisha tamkwa kua, madhara ya Lema kua nje ya Bunge kwa nyinyiem ni makubwa zaidi kuliko alivyo kua Mbunge, imeonekana ni bora mahakama iangalie zaidi sheria zilivyo ili nyienyiem iwe na uafadhari zaidi, kwani huyu jamaa hakusikia Lema alipania mwaka ujao ni jumba kwa jumba, kifo chake au Watanzania waeleweshwe, hilo lilikua tishio kwa magamba.