Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Mkuu kazi unayo mwaka huu utaeleza saana mpaka wakubwa zako wakukubali, unadhani hao kina mama wanafedha za kulipa mawakili pesa zote hizo kwa ajili ya kesi hii????? Wewe pia eleza facts!!!Ulipojiunga JF unifanya hivyo kwa kuwa wewe ni great thinker!!!! Kwa hiyo, jamii inatarajia kutoka kwako kwamba utakuwa una una uwezo wa kueleza facts. Mimi ndo nikaona si kweli kwamba CCM ndo wameamriwa kulipa gharama za kesi maana si CCM waliofungua kesi bali ni hao kina mama kwenye picha. Naeleza facts na sio ubabaishaji.....
Kama unataka kuni-challenge lete hukumu ya leo ya mahakama ya rufaa tuone ni nani kaamriwa kulipa gharama za kesi ya Lema!!! Hiyo ndo hoja yangu na wala si mapovu ama chuki ya hukumu. Aliyeshinda kashinda tu. Tunaripoti kama hukumu ilivyoandikwa na si kuongeza maneno yasiyokuwamo kwenye hukumu.
Uwe mwelewa huu si mpira kwamba wewe ni refa na mimi ni mchezaji, kwamba uamuzi wa refa ni wa mwisho, la... Bali ni facts.
Wanasubiri ganzi iishe wawasukumie nondo zaidi.Masalia Group au TUnte & co sijui wako wapi sasa!! Full aibu kwao
Ongera kamanda mkuu amri jeshi Lema mungu hakutie ngùvu kwel lema n mwanajeshi, amepambana mpaka haki imetendeka,..2po pamoja..chadema mkomboz wa mtanzania..Mkuu mbona video .... Ama link haonekaniki
Jibu la hilo swali hutalipata kwenye kesi ya Lema, bali hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-tanzania-are-so-riddled-with-corruption.html
ilikuwa haina namna nyingine! Walishikwa pabaya.
Mkuu kazi unayo mwaka huu utaeleza saana mpaka wakubwa zako wakukubali, unadhani hao kina mama wanafedha za kulipa mawakili pesa zote hizo kwa ajili ya kesi hii????? Wewe pia eleza facts!!!
Wadanganye wapumbavu wenzako lakini wenye akili zao wanajua jinsi gani mnalihitaji jimbo la Arusha Mjini kuliko jimbo lolote nchini....
chama unaonaje wewe.
Umesoma nyuzi za kina saanane na heche na wenzao wanavyolipuana kwa rushwa?
Una maana Lema kahonga? funguka kijana.
MODS, Kwawanaomjua Ben saanane tafadhali naomba nimjue kwa picha tu
Masalia Group au TUnte & co sijui wako wapi sasa!! Full aibu kwao
Amekula BanMP7 mpo wapi makamanda........ TUNTEMEKE kimyaaaaaaaaaaaaaaaaa