mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 567
Daud Muchambuzi,,, nani sasa awekwe mbali na tembo????? by the way nampa hongera Lema na Chadema kwa ujumla kwa ushindi huu
mkuu wala usiogope walichomfanya Lema ni kwamba walikua wanampitisha kwenye tanuru la moto, sasa hivi hata ule uoga mdogo aliokua nao umetoweka. kitendo cha kuzunguka nchi nzima na M4C kimemjengea ujasiri zaidi.!!Hapa ndipo unapooona fikra za Chama tawala zimefikia mwisho,ni kweli kuwa Lema alifukuzwa ubunge kwa sababu za kisiasa na wala sio maamuzi ya mahakama bali ulikuwa ni mpango uliopangwa na watawala na hili wote tunajua.Watawala walifanya hivyo wakiamini kuwa Lema nje ya Bunge ATA EXPIRE na atapoteza umashuhuri na washabiki wake watakosa pa kushika,tofauti na kama ingekuwa Dar ambapo watu huko ni kama binzari leo wa kijani kesho wa pepo pawa keshokutwa wako kwa Lipumba, wananchi wa Arusha waliendelea kumsaport na kumuunga mkono kamanda wao kwa Kasi kubwa zaidi.
Watawala nao wanaona na wameshtuka na wameamua kuwa madhara ya Lema nje ya bunge ni makubwa sana kuliko akiwa bungeni kwa sababu ya bungeni yanamalizwa bungeni na Makinda ana kazi maalum pale kulinda maslahi ya Kijani na kukandamiza wapinzani.
Sasa watawala wameona njia rahisi ya kumdhibiti Lema ni kumrudisha mjengoni na kwa nguvu ile waliyonayo wameamua Lema arudi mjengoni ili asiwe na nafasi ya kuzunguka Lindi na Mtwara ,London na USA kufanya kazi ya M4C
Angalieni sana msije kuwa mnashangila ushindi wa Lema kunyamazisha na magamba.
Mwongo wewe.M4C is larger than LIFE!!
Yaani where l am it is a perfect wheather kuvaa gwanda, lemme go home n change.
Beni likua shushu tu, ila wenyewe walichelewa kumgundua.!!Mbona muasisi Ben Saanane alishaenda mahakamani mapema tu.