Yusuphsabury
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 307
- 114
Separation of power checks&balance ni kitu muhimu sana ktk nchi yeyote ya kidemokrasia!
Nimekutana na makamanda wanaandamana Kinondoni Makaburini wakielekea makao makuu ya CDM. Tunataka M4C kuanzia sasa ili kueneza habari njema ya ukombozi.Pamoja sana..
Dogo anasherehekea X-mass na mwaka mpya kwa mguu wa kulia. hongera Lema, Viva CDM
There are currently 2229 users browsing this thread. (1025 members and 1204 guests)
sasa kazi iliyobaki lema ni kuwatumikia wana arusha kwa moyo wako wote kwasas arusha kuna kero kubwa ya machinga kunyanyaswa na mgambo hii yote ni kutokana kuwa na mapenzi na wewe...sasa naomba uanze kutatua kero hii..uhakikishe wana pata pa kufanyia biasgara na siyo nmc pale hapatoshi wana teseka mama zetu...
Tupiapo hapa angalau kapicha!!Arusha ni bhashasha kwa kwenda mbele!:target::majani7: