There are currently 2778 users browsing this thread. (1152 members and 1626 guests)
Mungu ni Mkubwa Tulianza na Mungu na tumemaliza na Mungu(dogo janja).
Hongera sana Chadema,Tundu Lisu Juuuuuuu,
PIPOZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
Hivi wewe baada ya mkwala wa Lissu kuna Jaji anaweza kuisikiliza Ikulu tena kwenye kesi kama hii? Muulize Chande kilichomkimbiza ni nini utapata jibu. Itafute clip ya Lissu ya alichokisema kwenye mkutano wa TLS Arusha ndio utajua nasema niniMahakama zinafata sheria. Walio kua wanasema hii kesi iko chini ya ikulu wako wapi sasa
Hakika saa ya ukombozi imefika. Hongera kamanda Lema. Hongera Chadema. People's power! Asante Mungu kwa matokeo haya.
Kma ni hivyo kwa nini mioyo yenu inawaenda mbio kwa kachama kadogo?Mkuu CCM ni zaidi ya ubunge wa Arusha!
Chama
Gongo la mboto DSM
There are currently 2829 users browsing this thread. (1173 members and 1656 guests)
Kwa wana janvi wote mulio live, Jamani hii habari ya kweli kwamba tayari majaji wameishatoa ruling kuhusu kesi ya Lema? Mbona media/radio hawajatangaza? Niko nasikiliza RAdio 1 wanipe habari kupitia breaking news yao lakini hawatoi.