yaani nina uhakika bi kiroboto kachukia sana kwa hukumu hii....hahaaaaa kuhusu taarifa ...hahaa spika naomba muongozo....majaji wangu nashukuru sana kwa zawadi hii ya christmass..Tundu Lissu Antipas wewe utakuja kuvikwa nishani na taifa hili maana taaluma yako inaonyesha njia mwanzo kati mwisho
Hongera Lema..Hongera Arusha!
What a Christmas present!..........MERRY CHRISTMAS TO YOU ALL!
Prezzo upo? Tunasitisha thread zenu za utetezi kwa muda...