Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Sasa kumekucha.... Sasa kumekuchaaa jogoo limekwisha wika dodomaaa ha'ha'ha'ha'ha hongera sana Lema na wana CDM wote
 
were weraaaaaa...................!!!!! FURAHA DEBE AISEEEE...
 
Hiv ritz na nape wako wap? Hizi ni salamu tu ziwafilie mlipo,peopleeez! Haya itikieni hata kimoyomoyo poweeeeeeer,mtaipenda tu
 
Makamanda vipi leo JK ajaingilia hii kesi? Siku zote Rais wetu JK atabaki kuwa Rais makini mwenye kuheshimu uhuru wa mahakama.

Siku zote napenda kuheshimu maamuzi ya mahakama haki ni kipimo bora cha utawala wa JK.

Hongera Chadema hongera Lema.

a well balanced opinion from Ritz. Great
 
Hii ni hatua njema sana kwa mustakabali wa ukombozi wa Tanzanii .Hongera sana CDM, Hongera sana Bw. G. Lema
 
Ndo maana nanilii kakambia mji kaenda kujificha Bilila, aibu yake aibu yangu teh teh teh, naomba mzinga wa konyagi kwanza nimfukuze shetani
 
Msiba mzito kwa Jk,Prezzoo,cobra n Co.
Wapi Arusha one?Njoo huku tusherehekee...
 
Last edited by a moderator:
Kamanda Lema rudi jimboni katimize ahadi zako kwa wapiga kura wako kujenga hospitali pamoja na machinga compelex.
 
Nawaonea huruma sana jamaa wa thithimewe. Itabidi walipe gharama za kesi tena zote mbili!
 
Hongera cdm.penye ukweli uongo hujitenga pipoz!!!!
 
Back
Top Bottom