Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,657
nimemuona mtaa wa 2 anakunywa viroba jogoo na ugoroJamani mmenionea mtu anaeitwa REJAO HAPA!
nimemuona mtaa wa 2 anakunywa viroba jogoo na ugoroJamani mmenionea mtu anaeitwa REJAO HAPA!
Kwa vile ndiye anayekusanya kodi!!!!!Kamanda Lema rudi jimboni katimize ahadi zako kwa wapiga kura wako kujenga hospitali pamoja na machinga compelex.
HE! Ni wewe, you are so realistic today. ila sio Lama ni Lema - Mbunge wetu wa Arusha.Makamanda vipi leo JK ajaingilia hii kesi? Siku zote Rais wetu JK atabaki kuwa Rais makini mwenye kuheshimu uhuru wa mahakama.
Siku zote napenda kuheshimu maamuzi ya mahakama haki ni kipimo bora cha utawala wa JK.
Hongera Chadema hongera Lema.
Mkuu kwa akili yako unadhani members wote wa JF ni wafuasi wa Chadema.
Makamanda vipi leo JK ajaingilia hii kesi? Siku zote Rais wetu JK atabaki kuwa Rais makini mwenye kuheshimu uhuru wa mahakama.
Siku zote napenda kuheshimu maamuzi ya mahakama haki ni kipimo bora cha utawala wa JK.
Hongera Chadema hongera Lema.
Ni kusherekea na kutekeleza ahadi tulizowaahidi wapigakura wetu!!SO JAMANI kESI IMEISHA AU TUNAFANYAJE?
Tulianza na Mungu,tuko na Mungu na tutamaliza na Mungu,[NIKO AMBAYE NIKO LAZIMA AJULIKANE] Hongera kamanda LEMA,tupo pamoja.