Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Kila la kheri Kiongozi wangu Mwenyezi mungu atajibu kilio cha wanyonge wa Arusha
 
Nipo mahakamani hapa watu wengi sana nimekosa nafasi niko nje sitaweza kureport kazi kwa ndugu yeriko
 
Jamani hiyo ni LIVE ya aina gani mbona hakuna update yoyote hata kutuambia kuwa kesi imeisha anza?

MFUATILIE YERIKO HAPO TOP KABISA MWA PAGE, AMERIPOTI HAYA HAPA DOWN;

More Updates:

- Tumeamriwa kuzima simu zote, sasa majaji wanaingia,

- Kwanza hukumu inaanza kusomwa!

- Kwanza inasomwa historia ya kesi hii, tukio kwa tukio

Updates:

Mtanisamehe sitaripoti kila kinachotamkwa na msoma hukumu, naripoti yale muhimu tu, mfano vifungu vinavyo muingiza au kumto mtuhumiwa na hitimisho la mahakkama tu!,
 
Kwa mara ya kwanza kamanda mpya awasili,na muda huu najiandaa kwenda Mahakamani kushangilia ushindi wa kamanda LEMA.
 
Yeriko Nyerere
- Mtanisamehe sitaripoti kila kinachotamkwa na msoma hukumu, naripoti yale muhimu tu, mfano vifungu vinavyo muingiza au kumtoa mrufani na hitimisho la mahakama tu!,
Azima kifaa cha kurekodia kwa Saa Nane!
 
Last edited by a moderator:
Ben saanane kijana hatari sana...ana vifaa maalum vya kurekodi matukio...kiboko ya masalia wazee wa tunguri.
 
Hukumu ya leo itaweka historia ya aina yake na mstakabali wa mahakama zetu, pia itajibu maswali ya ikulu ilihusika kumvua Lema uwakilishi wake au la?
 
nmeambiwa kwamba ni vigumu kwa lema kushinda hii rufaa kwa sabab anaonekans ni mtu hatari kwa usalama... mliopo mahakamani mtathibitisha majaji wamepewa vitisho. subirin mwisho wa rufaa mtaniambia.
 
mfuatilie yeriko hapo top kabisa mwa page, ameripoti haya hapa down;

more updates:

- tumeamriwa kuzima simu zote, sasa majaji wanaingia,

- kwanza hukumu inaanza kusomwa!

- kwanza inasomwa historia ya kesi hii, tukio kwa tukio

updates:

Mtanisamehe sitaripoti kila kinachotamkwa na msoma hukumu, naripoti yale muhimu tu, mfano vifungu vinavyo muingiza au kumto mtuhumiwa na hitimisho la mahakkama tu!,

pamoja mkuu kila liwezekenalo basi tupatie
 
Back
Top Bottom