Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Kamanda Lema Hongera sana, una DENI kubwa sana kwa wana arusha kwa imani walionayo kwako. Mungu azidi kukuimarisha ili uweze kuwaongoza Wanaarushja na Watanzania wote kuelekea nchi yetu ya ahadi.

Haki itashinda udhalimu siku zote!
 
Kitu ni lemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Arushaaaaaaaaaaaaaaaaa mpoooooooooooooooooo! safi sana kwa sasa tupo njiani tunamsindikiza kamanda wetu Ofc kinindoni kwa mbwembwe na Bashasha hatumwi mtuu dukani leo safi sana kamanda hakika Mungu ametenda.................. Viva CDM
 
Pipoooooooooooooooooooozz!!!!Power!Hongera saana KAMANDA wetu Lema kwa kurejeshewa Kiti chako cha Ubunge,tuendeleze mapambano!
 
Pigo lingine hili kwa Zitto na vijana wake wa MASALIA...

KUDOS LEMA, naomba ukirudi bungeni January anza na lile FILE lililowekwa kiporo la Pinda kudanganya maana najua PM leo usingizi utamjia kwa nguvu ya viroba tu.

JEMBE JEMBE JEMBE JEMBE..... PIPOOOOOOOOOOOOOOOZ

Masalia leo wana hasira mbaya.Walitaka Lema ashindwe kesi.Eti hawa matapeli wanajiita CDM
 
Hongera Lema kuwa Mbunge wangu wa Arusha kwakushinda kwa mara ya pili! Mlioko hapo Dar tunaomba picha za matukio tafadhali!
 
Jamani siku hizi wana jf wamekuwa wachoyo kuweka picha na matukio
 
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema ambaye alivuliwa ubunge wa jimbo hilo kwa tuhuma za kutoa lugha za matusi na za kibaguzi, leo hii amerudishiwa nafasi yake ya ubunge wa Arusha mjini baada ya rufaa yake kuwa na mashiko. Hukumu hiyo imetolewa leo hii katika mahakama ya rufaa kanda ya Dar es salaam
 
Back
Top Bottom