Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Huwezi kufurahi kuwa umefika baada ya ndege kuruka ila unasema umefika baada ya ndege kutua na kushuka, tusifurahi kwa kuambiwa udhalilishaji haukuadhiri uchaguzi maana lolote laweza tokea
 
Makamanda vipi leo JK ajaingilia hii kesi? Siku zote Rais wetu JK atabaki kuwa Rais makini mwenye kuheshimu uhuru wa mahakama.

Siku zote napenda kuheshimu maamuzi ya mahakama haki ni kipimo bora cha utawala wa JK.

Hongera Chadema hongera Lama.

Tumefunga na kusali sana mpaka IKULU imeona haya kuingilia tena ama kutumia majaji wake vihiyo
 
Nahisi Zitto na masalia watakuwa wapo wanataga mayai maana walitaka lema ashindwa

Now CDM is getting stronger

Peopleszzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Last edited by a moderator:
Leo lazima nichinje dume!!wale wa matejoo,ngarinanyuki,,moivoo..sanawari,,ngarenaro.mbauda..sekei..ungalimited..peeeopleeeeeees......p..ow...we...r
 
Mbona hutatuambia kama kamanda Lema yupo? Je, Rais mtarajiwa vipi(Dr Slaa)?
 
Pigo lingine hili kwa Zitto na vijana wake wa MASALIA...

KUDOS LEMA, naomba ukirudi bungeni January anza na lile FILE lililowekwa kiporo la Pinda kudanganya maana najua PM leo usingizi utamjia kwa nguvu ya viroba tu.

JEMBE JEMBE JEMBE JEMBE..... PIPOOOOOOOOOOOOOOOZ
 
Noel inaanza leo! abishaye na abishe! Hongera Lema, haki imetamalaki.
 
Back
Top Bottom