MZEE WA USSOKE
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 120
- 42
Tulianza na Mungu,tuko na Mungu na tutamaliza na Mungu,[NIKO AMBAYE NIKO LAZIMA AJULIKANE] Hongera kamanda LEMA,tupo pamoja.
Hatimaye Mungu amedhihirisha ukubwa wake dhidi ya pesa!
Ndo maana nanilii kakambia mji kaenda kujificha Bilila, aibu yake aibu yangu teh teh teh, naomba mzinga wa konyagi kwanza nimfukuze shetani
Kuna tatizo la msingi Mahakama Kuu. Hawa Junior Judges wanaonenakana kuwa highly incompetent na tuhuma za Mh. Tundu Lissu zinazidi kuthibitika....Tumeshindaaaaa
majaji waliosoma hukumu tuwape hongera zao chande vpkamanda lema hongera sana, una deni kubwa sana kwa wana arusha kwa imani walionayo kwako. Mungu azidi kukuimarisha ili uweze kuwaongoza wanaarushja na watanzania wote kuelekea nchi yetu ya ahadi.
Haki itashinda udhalimu siku zote!
Nakumbuka kwenye moja ya post zao za uzushi TUNTEMEKE (Zitto) aliwahi kulalamika kwa nini Lema anaingia vikao ya kamati kuu ya CHADEMA kwa ticket ya wabunge wakati ubunge wenyewe kavuliwa. Sasa mahakama imejibu mapigo maana Lema mwenyewe hakuwajibu.Masalia leo wana hasira mbaya.Walitaka Lema ashindwe kesi.Eti hawa matapeli wanajiita CDM
Msiba mzito kwa Jk,Prezzoo,cobra n Co.
Wapi Arusha one?Njoo huku tusherehekee...
Hiv ritz na nape wako wap? Hizi ni salamu tu ziwafilie mlipo,peopleeez! Haya itikieni hata kimoyomoyo poweeeeeeer,mtaipenda tu