Lema amvaa Ridhiwani Kikwete, Ni kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One

Status
Not open for further replies.
Nasikia Chadema wakichukuwa nchi kila mishahara juu Dr atapata mshahara wa Milioni 10, Nesi Milioni 5, Walimu Milioni 7.

Ritz, ishu siyo mshahara juu, ishu ni mazingira na haki sawa kwa wote, na kila moja aridhike na kipato chake, kwa maana ya kila pato liwe na thamani.
 
Last edited by a moderator:
jamani riz1 anamgodi mwingine huko tanga kuna habari nazifatilia nitaziweka hapa siku chache zijazo..
 
Kwani uongo sio maneno yangu ni maneno ya Membe "Chadema walikuja kwangu walikuwa na njaa nikawapa chakula"

unanikumbusha enzi zile za chuo, alikuwepo principal moja hivi wakati anatufundisha topic ya comparetive political thought, alikuwa mbea mbea hivi. Anaweza kuingiza ishu ambayo ni useless
 
Idnt wanna read mo type of thse threads,hv watanzania nani alotuloga??mambo yote wanayo yafanya awa washez atujajifunz k2,kwa leo tu hii ni thread ya 3 yenye vishawish vya kutosha kuingia barabaran na kudai chetu naisoma hapa,mara dk kapgwa,uku cjui iran na meli,kule cjui tanzania 1 na ritz,,hv watugongee wake zetu ndo tue na hasira ama,afu tunajiita gr8 thnkers,how?mbna tunalalamika sana,someone has to do smthng about ths,dk uli kapigwa kwa kutete haki za watu flani lakn wote wanaotetewa wako kimya,kweli tunaishiwa mbnu tunabki kulalamika tu,what is our unity al about,kukimbza mwnge na kusheherekea idd haji??c'mo guys lets do smthn''THE KIKWETE REGIME MUST GO''

Ada ya mja kunena,MUUNGWANA VITENDO...tumesema sana..kwanini hatufanyi vitendo????
"Vox populi,vox dei"
 
Kuna mgahawa hapa unaitwa PENDO CAFE nasikia riz ana hisa.LEMA ukuje ufanye upembuzi yakinifu nahuku.
 
katiba mpya lazma iwe na kipengele cha kumshtaki rais kwa ufisadi au matumizi mabaya ya madaraka km ilivyotokea zambia, tumechoka.
 
tunashukulu kwa tarifa mkuu tatizo hakuna mwenye uchugu kila mtu aliyepata nafasi huangalia maslahi yake binafsi hivyo mabadiliko yanahitajika tena kwa viongoz wote inatakiwa wapatikane wenye uchungu toka moyoni si lohoni
 
Nakupongeza mh.lema kwa kuja na hili tena,ila nakumbusha tu watanzania na watu wa arusha wanaitaji zaidi ya kuibua scandals,tumia nguvu hizo hizo kuja na majibu ya matatizo mengi yanaowakabili vijana wa arusha na vijana wa tanzania kwa ujumla,kwani ni kweli siku ya mwisho hoja hizi zitakosa mshiko mbele ya watu na watu watataka mjibu ya nini umefanya kwenye elimu,ajira afya na mengine pia.

Kwanini nasema haya?

Leo taifa la mexico lenye idadi ya watu milioni 120 linaifanya uchaguzi wa raisi,miaka kumi na mbili iliopita chama cha upinzani cha conservative national action party kilipata ushindi mkubwa zidi ya chama tawala cha institutional revolutional party(pri) kilichokua madarakani kwa miaka 71.

Na ushindi huu wa kishindo ulisababishwa na chama hiki cha pri kutumia muda mwingi kuibua kashifa za rushwa uongozi mbovu wa chama tawala,na kikapata mvuto mkubwa sana kwa wananchi na wakapewa kuongoza nchi kwa ushindi mkubwa wa asilimia 75!!.

Bahati mbaya sana mtaji wao mkubwa na umaarufu wa chama hiki ulitegemea sana katika kukashifu na kuibua maovu ya chama kilichopo madarakani na hawakua na uelewa wowote na mkakati madhubuti wa kutatua matatizo ya wananchi wa mexico!!

Nini kimetokea?
Leo hii chama hiki tawala kimepoteza umaarufu wote na kura za maoni katika uchaguzi wa leo zinaonesha mgombea wa chama tawala cha zamani(walichokitoa madarakani) anaongoza kwa zaidi ya asilimia 60 ya kura na chama tawala cha sasa kina asilimia 20 tu!

Kwanini ndani ya miaka kumi tu watu wakichoke chama hiki na waamue kukirudisha madarakani chama tawala amabcho kilitawala kwa miaka zaidi ya 70? Jibu ni lahisi sana chama hiki kilijenga umaarufu wake wote katika kokosoa na kuibua uovu wa serikali ilioko madarakani na hawakua na majawabu yoyote ya maana kwa matatizo harisi yanayowakabili wananchi.mh.mbuge nazani utajifunza kitu pia katika hili.
 
Basi huyu Rizwan ni kiboko, hebu jaribuni kupekua huko chadema, labda na huko ana hisa.
 
Acheni ushamba nyinyi watanzania kibao wanamiliki migodi Kama hamjui...tatizo wengiwetu humu tuna jua dhahabu tu na tanzanite hii nchi ina gemstone za Kila aina zaidi yaaina 50 Mimi ni mmoja wapi na chimba sunstone Dodoma kuna watanzania wengine wanachimba ruby maeneo ya Dodoma tanga Ndio usiseme tomalin za kumwaga watu wanachimba sikwambii morogoro kunamoonstone watu wanachimba nawote Hao ni watanzania wakawaida sana..nenda mtwara watanzania wanachimba Gipsam wanauzia viwanda vya saruji wengine wanapeleka china. Maeneo yanauzwa bei yakawaida sana na wizara ya madini Kama unachukua ujue ukichimba unapeleka wapi nabiashara yote ya hayo madini ni Honkong na thailand
 
nakwenda zangu shamba kulima,tuonane mazao yakiwa tayari,kama mwenye pesa anaweza kuvunja nyumba za watu,je vipi kuhusu kumilikishwa shamba langu kule kilombero?
 
zomba saratani ya ubongo inakusumbua kama umetumwa na yeyote againt mabadiliko umechemka moto huu hauzimiki kwa kuteka viongozi wa wanaharakati wala viongozi wa upinzani jiandaeni 2015 kujibu maswali poleni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom