Lema amvaa Ridhiwani Kikwete, Ni kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One

Status
Not open for further replies.
Bora awe huyu kuliko makaburu, wahindi, waarabu na wazungu kuja na kuchukua hadi nankwalakwasa wetu na kuwapeleka kwao. Huyu mwanetu tutampata pale Msoga au Mboga na mali zake zina baki hapa kwetu tu, ukizingatia kuwa anajiandaa kumng'oa Kawambwa kule Bagamoyo naye awe mbunge kabla ya kugombea urais 2020.
 
kwa hiyo mnataka hisa wapewa wazungu ndo mtanyamaza?? Acheni hizo yan mkiona mwafrika mwenzenu anawekeza roho inawauma mkiona mzungu mnanyamaza sasa kama uwezo anao mwacheni na ww Lema kama unataka nenda mwadui wala hujazuiwa hata akiwa JK ndo yake si mbaya si kampuni sio ya serikali ww Lema ushaishiwa maneno me nakuona una akili kumbe unatuzingua nyakati zingne.

kifupi hatukatai kuwa na kampuni au kumiliki kampuni na hisa bari ugomvi wetu, ni kwani kiongozi au familia yako kutumia nafasi au madalaka uliyo nayo kwa faida yao nikinyume na sheria.
 
Aisee Aaron Tanzania ni bonge ya nchi, ukileta tuhuma watu wanaishia kukuambia lete ushahidi lakini hao hao wanaokuambia lete ushahidi wapo very selective kwa baadhi ya watu pale inapotokea hali ya ndivyo sivyo zinatumika tetesi za mtaani na kufungua mashitaka au kufuatilia
 
Last edited by a moderator:
Lema aliwahi kumvaa Ridhiwani Kikwete kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One ... Huyu dogo baada ya Uchaguzi maisha yatakuwa magumu sana kwake ...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom