Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 47,392
- 33,045
jamani riz1 anamgodi mwingine huko tanga kuna habari nazifatilia nitaziweka hapa siku chache zijazo..
Na wasiwasi na ufahamu wako hivi hunajua Tanzania kuna migodi mingapi?
jamani riz1 anamgodi mwingine huko tanga kuna habari nazifatilia nitaziweka hapa siku chache zijazo..
jamani riz1 anamgodi mwingine huko tanga kuna habari nazifatilia nitaziweka hapa siku chache zijazo..
[/B][/COLOR]
Na wasiwasi na ufahamu wako hivi hunajua Tanzania kuna migodi mingapi?
huyu lema amekosa mwelekeo .
Kujipanga tu tena sana sana ,fukuzeni mamluki wote waliopo kwenye chama makini,jiandaeni na 2015 maana si mbali,hata mkishindwa "urahis"mpate wabunge zaidi ya theluthi mbili...muweze kuendesha serikali kupitia bunge!!bila hivyo itabakia kulalamika milele amina
Hii nime'copy na ku'paste
toka kwenye facebook page ya kamanda Lema...........
Naomba hili liwe wazi kwa Watanzania, Ridhiwan Jakaya Kikwete, chini ya
kampuni ambayo wanaharakati tutaleta ushahidi wake kwa wananchi
wanaotaka ukombozi, wiki hii alikuwepo Jijini Arusha na tayari ana
mkataba wa umiliki wa zaidi ya hisa asilimia 45 za kampuni ya Tanzanite
One. Hii ni biashara ya Rais wa nchi. Ametumia madaraka yake kwa siri
kupisha umiliki huu kupitia mtoto wake. Linaweza kukanushwa na kupingwa
lakini muda unafika ambapo umma wa Watanzania utaamua. Hata wakishinda
kesi za mahakamani, hawataushinda uamuzi wa umma. CCM inakufa, iko
hatua za mwisho kabisa.
Mkuu naona umeingia JF kichwa kimejaa Valeur unatema pumba tu.
Kwani uongo sio maneno yangu ni maneno ya Membe "Chadema walikuja kwangu walikuwa na njaa nikawapa chakula"
tutafika tu ingawa tutkuwa tumechoka sana
Kwaiyo akiwanao chaajabu kitugani hapo mbona migoni yakumwaga tu nchi hii singida watu wamekatiwa maeneo ya kuchimba diamond huko nawenye nguvu zao wanafanya kazi ya kuchimba naniwatu wa kawaida kabisa..watuwengine wenyemaeneo Yao wanatafuta wawekezaji nenda matombo morogoro watu wanachimba gemstone inapesa balaaaaah
Wakwere waroho hawa sijapata kuona.
Kila kitu wanataka wao.
Biashara ni rahisi sana kufanya ukiwa ikulu, ukiondoka ikulu na biashara zinasambaratika.
Wewe ndio umekosa mwelekeo...acha matusi ya rejareja!Huyu Lema Amekosa mwelekeo .
Aya yayaaa, ANGONI CAR HIRE
ZILIKUWA KWENYE KILA KONA YA MJI WA ARUSHA, WAKATI WA MKUTANO WA BENKI
YA AFRICA, NIKAJIULIZA ZIMETOKEA WAPI HIZI....