Kamanda hakika wewe si wa kuaminika.Ulileta porojo hapa kuwa Chadema inaelekea kushinda Uzini kumbe ni asilimia 4 kwa 91. Sasa umeamia Arumeru na fix za Alsaaf wa Iraq ''we are beating them''.Kama hamtaacha porojo hizi za mezani kuwa CCM haipendwi mtakuwa mkitandikwa kila chaguzi na kulia na uchakachuaji.
Uongo unashusha heshima na wewe humu Jf huwa nakupotezea tu maake unafiki at work.What is so special to Nasari, ninachojua yeye ni miongoni mwa wagombea zaidi ya 6 waliochukua fomu CDM sasa kabla kamati haijampitisha kaanza kupanic na ikitokea amepigwa chini what next?
Tuheshimu demokrasia, huwezi kujitangaza kuwa mpinzani (mteule wa CDM)hali ya kuwa hujapitishwa.Hii inaleta tafsiri kuwa wengine ni wasindikizaji tu which is not true.