Lema amuokoa Mwigulu Nchemba Mount Meru Hotel!

Nataka kujua kama CCM imeishiwa watu makini na iwapo bado inaamini ktk uwajibikaji na utawala bora.
Mtu mwenye tuhuma za kufumaniwa na mke wa mtu hakupaswa sio tu kuendelea kuwa mbunge,bali pia kuendelea kushikilia nafasi yoyote ktk CCM, achilia mbali kuendesha operesheni za chama.
Huyo jamaa aondolewe ama aondoke haraka Arumeru vinginevyo ataambulia kipigo toka kwa vijana mara uvumilivu ukiwashinda.

slaa na mke wa mtu watakiwa mahakaman leo.oh!samahan na mchumba wake.plz waungwana sijazamilia kabisa
 
Mkuu mimi nilivyosoma heading nikadhani Mwigulu alivamiwa na wana Apolo hotelini na Lema akawatuliza; kusoma ndani naona ati kaokolewa kwa kukaribia kupigwa na Nassari. Huenda Nassari ndio kaokolewa. Wangeacha waonyeshane misuli kisha ambaye angezidiwa ndio aokolewe.

Kumuokoa kwenyewe eti kamwambia achana nae! nilikuwa najua wana Apolo wameishachomoa sime.
 
Zamani nilikuwa nakuona bonge la Great thinker na nilikuheshimu sana! lakini siku hizi kila nikikusoma between the line....nimekugundua kuwa wewe ni magamba kufa mtu. Yaani mtu akifuatilia coment zako hapa jamvini mara moja
anagundua kuwa hauna tofauti na Ritz au Rejeo
Mkuu ndio umemgundua leo.
 
Mkubali msikubali Mwigulu ni tishio kwa kila mgombea na hapo huyo dogo amepandisha magadhabu kwa ajili hiyo. Mtabaki kusema kafumaniwa, mzinzi kwani ninyi ndio wake zenu walichapwa? Mbona slaa kampa mimba na kumzalisha mke wa mtu? Yote hiyo kihoro tu. Viva Mwigulu usitishiwe nyau

Mafisadi at work!

Utajuta kuwa mtumwa kilaza wee!
 
Zile vurugu zilizoletwa na ccm kule igunga kamwe hazitawezekana huku meru..wana appolo wote wako nyumban bila shaka wana kaz nzury ya kufanya.
 
CCM wana mtaji wa kura elfu 30s sasa wasiwasi wa nini...Kampeni hazijaanza....lakini Mwigulu tayari yuko Arumeru ana haha...inashangaza sana aisee.


Mkubwa!
Nakwambia hawa mafisadi mbinu zao tunayo mifukoni

Huu uchaguzi safari hii itakuwa fundisho kwa hawa mafisadi!
 
Sasa ndo tunawajua walevi wa madaraka kupitia hizi chaguzi ndogo
 
Tukiweka ushabiki wa vyama pembeni....ukweli CCM kimepoteza mvuto mno na hata wao wanalifahamu...kwa mtu kusimama mbele ya hadhara ya watu na kuanza kuinadi CCM watu wanaweza kukuona wewe ni mwendawazimu na utawaongezea hasira watu...kwahiyo CCM hawana mbinu zaidi ya kutumia rushwa,vyombo vya dola na uchakajuaji ili kushinda uchaguzi wowote ule.
 
Nadhani dogo aliposikia Mwigulu yuko meru akajua kazi imekuwa ngumu, lakini kote huko nikumgwaya Mwigulu. Kwani nasari anafanya kazi takukuru? Lakini mbona nasari kwa Mwigulu ni kama sisimizi na tembo? Mwigulu ni kamanda wa vita sio mtu wa kutishiwa
Kwani Mwigulu ndiye mgombea mnatuchanganya sasa.
 
Waonyesheni kamanda... Ila huyo jamaa (Nchemba) huwa anajifunga kitambaa shingoni. Wasiwasi wangu mnaweza kuja kuambiwa mmemvua hijabu...
Ndio mtaambiwa mmechana bendera ya Taifa. Alishaambiwa na kina Lissu bungeni kuhusu hiyo skafu
 
chukua kamusi angalia maana ya neno mnafiki then changia hoja,ok?????????
Tunataka chanzo.

ni kweli mkuu chanzo kwanza, ushabiki baadae! Halafu mie nashangaa sana baadhi ya member wa cdm wa jf sijui wakoje, habari yoyote inayohusu chadema source/uhakika sio muhimu, ukija ukadai source/uhakika unaitwa magamba, mnafiki, kilaza nk. Sijui huu ndo u-great thinker wa vipi jamani?
 
I hate this guy,ni kimbelembele,muongo,mnafiki,mjivuni na mjuaji wa kila kila kitu!angekuwepo mwl jk original angetupa jina la huyu mtu!mtaji wa c.c.m ni wa....
 
I hate this guy,ni kimbelembele,muongo,mnafiki,mjivuni na mjuaji wa kila kila kitu!angekuwepo mwl jk original angetupa jina la huyu mtu!mtaji wa c.c.m ni wa....
Hao ndio vijana wa CCM waliobaki tuna wa groom.
 
Tukiweka ushabiki wa vyama pembeni....ukweli CCM kimepoteza mvuto mno na hata wao wanalifahamu...kwa mtu kusimama mbele ya hadhara ya watu na kuanza kuinadi CCM watu wanaweza kukuona wewe ni mwendawazimu na utawaongezea hasira watu...kwahiyo CCM hawana mbinu zaidi ya kutumia rushwa,vyombo vya dola na uchakajuaji ili kushinda uchaguzi wowote ule.

bado wana mtaji wao mkuu,japo ni wachache,ni wale mwalimu nyerere alikua anawaita malofa,wajinga nk,nimefarijika kitu kimoja kua mapinduzi ya kweli yanakuja,hakuna mkoa uliokua umepumbazwa kama Morogoro,ila u cant believe nipo Moro tena mbali kidogo na mji kuna eneo moja linaitwa bigwa,magamba wamepoteza mvuto kabisa,hasa kwa vijana,ni bendera za chama fulani tu zinapepea,najaribu kuwadadisi vijana why wameamua kuasi c.c.m wengi wao wanasema c.c.m imeshndwa kuwakomboa kwy dimbwi la umaskini miaka yote,na wamekua wakiwadanganya tu wakati wanaoneemeka ni wachache,nikaona kweli sasa watu wameanza kujua siasa ni maisha!na propaganda za c.c.m zinafikia mwisho,ila elimu ya uraia inatakiwa zaidi kwa maeneo kama haya,bado haitoshi,na tusibweteke
 
Back
Top Bottom