Lema amuokoa Mwigulu Nchemba Mount Meru Hotel!

Lema amuokoa Mwigulu Nchemba Mount Meru Hotel!

Waonyesheni kamanda... Ila huyo jamaa (Nchemba) huwa anajifunga kitambaa shingoni. Wasiwasi wangu mnaweza kuja kuambiwa mmemvua hijabu...



chunga domo lako ww unaijua hijabu ww kama huna comment kaa kimya pambavu
 
Ni kazi nzuri sio lazima mtu alzimishwe kuamini kwani inseu ya lushwa ni dhahili inaonekana live ktk uchaguzi.Hao akina mwigulu ni vijana walioibuliwa na kupewa fedha nyingi ili kuendelea kutuhadaa wtz lakini tuaepuke sana kama ukoma kwani ni waizi watupu.
 
chunga domo lako ww unaijua hijabu ww kama huna comment kaa kimya pambavu

Sasa kati yake na wewe nani hana comment? yeye katoa maoni yake wewe umeamkia kutukana.
Nani hajui kuwa Nchemba anavaa hijabu?
 
ni vema hekima na busara ya juu vikatumika sana hii ingemchafua nassari japo tungefurahi kusikia magamba wamepokea kichapo lakini wangetumia kama fimbo ya kumchafua kijana ili akose ubunge
 
Ndugu wanajf leo hapa MOUNT MERU HOTEL kumetokea tafurani kubwa ilikuwa inamkuba MWIGULU NCHEMBA, Nahii yote imetokea Baada ya kamanda Nassari Joshua kupata Taarifa ya kugawiwa kwa rushwa kwenye Jimbo la Arumeru Mashariki.

Kamanda Nassari aliamua kumfuata moja kwa moja bwana Mwigulu Nchemba na kumuonya kuhusu tuhuma hizo ndipo bwana Nchemba alipo anza kujibu mbovu na kamanda Nassari akaamua kumnyookea na Kumuambia Nchemba hapa ni Meru siyo Igunga nitakuchapa vibao sasa hivi, Kamanda Nassari akamsogelea Bwana Nchemba na kutaka kufanya kweli ndipo ghafula akatokea kamanda Lema na kumuambia Nassaria aachana na Nchemba kwani hawawezi kushinda Meru hata wakiamua kuhamishia Bank kuu pale na kugawa hela.

Kwasasa kamanda Lema na makamanda wengine Wameelekea Meru kwa kazi za chama ila baada ya Tafrani hiyo kamanda Nassari hajulikani alipoelekea, Ila hili lilikuwa onyo kwa mdomo , Hatuta vumilia ****** huu.

WATATUUA KWA RISASI ZA MOTO, WATAKUFA KWA PRESHA YA DHAMBI, AHSANTENI MUNGU YUPO UPANDE WETU, MSIOGOPE.

Kama kweli huyo Nassari alinuia kupigana na Mwigulu na akaamuliwa na Lema basi amshukuru sana Lema kwa hilo. Kwani angekuwa amefanya jambo la kipumbavu kabisa sawasawa na kujipeleka kwenye mdomo wa mamba. CCM wangemtafuna kiulaini na kummaliza kabisa hasa ukizingatia kuwa ni juzi tu wazazi wake wamelazimika kupanda jukwaani kumtetea kuwa siyo mkorofi kama akina Wassira wanavyodai.
 
wasilete ubishoo huku meru wameru wana kawaida akikukosa atakata hata mgomba hasira zipungue watch out nchemba
 
Back
Top Bottom