Mount Meru hotel yaingia kwenye mgogoro,yalazimisha wateja kulipa 25 kuingia ndani

Waziri2025

Senior Member
Sep 2, 2019
148
379
Hoteli ya kitalii jijini Arusha Mount Meru hotel imeingia kwenye mgogoro na wateja muda huu baada yakuwalazimisha wateja wao kulipa shiling elfu ishirini na tano kama kiingilio

Kiingilio hicho hakitakuruhusu kupata chochote ndani Bali kila utakachokihitaji utatakiwa kulipa

Baadhi ya wateja wameonekana kushindwa kulipa kiingilio hicho nakuamua kuondoka kwa kuwa sio utaratibu.Imeelezwa kwamba hoteli hiyo imekosa mvuto jambo lililopelekea kufanya hivyo
.......,.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom