nadhani aliamua kujitoa JF! Uzi uekufa kabisa. Unaona kuwa katika "taifa" anaweza kuwepo mtu mmoja ambaye anafanya mambo yaende yanavyotakiwa. Sawa na kuondoka Lisu bungeni, unaona kuna pengo kubwa/ni uozo mtupu katika sheria bungeni!Aiseee, hiu uzi noma sana but Dragoon is nowhere to be seen. Mwenye taarifa zake please atujuze maana hajaonekana humu tangu mwaka jana mwishoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana labda ni mgonjwa!! who knows, bahati mbaya hatujuani humu, hata kama mtu akipatwa na tatizo inakuwa changamoto!nadhani aliamua kujitoa JF! Uzi uekufa kabisa. Unaona kuwa katika "taifa" anaweza kuwepo mtu mmoja ambaye anafanya mambo yaende yanavyotakiwa. Sawa na kuondoka Lisu bungeni, unaona kuna pengo kubwa/ni uozo mtupu katika sheria bungeni!
Hivyo ndivyo unavyoamini wewe,kwani kabla hajazaliwa lisu inamaana kulikuwa hakuna watunga sheria tangu ukoloni eti?nadhani aliamua kujitoa JF! Uzi uekufa kabisa. Unaona kuwa katika "taifa" anaweza kuwepo mtu mmoja ambaye anafanya mambo yaende yanavyotakiwa. Sawa na kuondoka Lisu bungeni, unaona kuna pengo kubwa/ni uozo mtupu katika sheria bungeni!
Your perspective of issues is very myopic, it clearly depicts the level of training/understanding/analytical capacity of a person I am talking to! have a nice evening! Enjoy your JF!Hivyo ndivyo unavyoamini wewe,kwani kabla hajazaliwa lisu inamaana kulikuwa hakuna watunga sheria tangu ukoloni eti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Neriah kamata vya tort hapa
Mwenye hii kesi msaada wakuunaomba mwenye hii kesi anisaidie
TANZANIA BUREAU OF STANDARDS V. ANITA KAVEVO MARO, HIGH COURT, LABOUR DIVISION, 2017.
sagaciR , nina ishu kama uko humu nikutumie inbox tujadiliane please. naona huu uzi ulikufa bada ya dragoon kujitoaCAT affirmed HC decision.View attachment 1284144
Mkuu fufua huu uziHapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa sana na napenda kushirikisha wengine kwa hivi vitu, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.
Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.
Wanasheria karibuni sana
Mkuu dragon black law dictionary na Mimi pia ikupendeze ,manyamalphonce@gmail.comKiongozi talentboy fungua email yako nimekuwekea Black's Law Dictionary 8th edition
Dragoon alipotea sasa mwakaMkuu dragon black law dictionary na Mimi pia ikupendeze ,manyamalphonce@gmail.com
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Asante mkuuDragoon alipotea sasa mwaka
Dragon yupo ila huku hapiti aseeAiseee, hiu uzi noma sana but Dragoon is nowhere to be seen. Mwenye taarifa zake please atujuze maana hajaonekana humu tangu mwaka jana mwishoni.
Sent using Jamii Forums mobile app