under_score
Senior Member
- Nov 2, 2011
- 190
- 45
Mkuu dragon, na Waheshimiwa wengine wote hapa ndani, Salaam!
Tafadhali sana, naombeni msaada wa haraka wa kuipata nakala (Authority) ya Hukumu ya Kesi hii ambayo nadhani ni ya muhimu sana:
Ni Kesi inayoitwa;
"Salehe Komba na Mwenzake, dhidi ya Tanzania Posts Corporation, Revision Na. 12 ya mwaka 2018 iliyotolewa katika Mahakama Kuu, Mwanza, by Matupa J"
Ambapo Mahakama Kuu ilitoa uamuzi kuwa Mashirika ya Umma kama Tanzania Posts Corporation, TANESCO n.k hayakulengwa na kipengele cha 32A cha marekebisho ya ya mwaka 2016 ya Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 katika kutatua migogoro ya Kiajira baina ya Mfanyakazi na Mwajiri.
Natanguliza shukrani.