Legacy ya Rais Samia ni ipi mpaka sasa?

Kuna diwani wa kutoa fedha za kujenga madarasa?
Ninapozungumzia madiwani namaanisha Halmashauri yaani serikali za mitaa. Kwani Halmashauri haziwezi kujenga madarasa? Kwenye Halmashauri hakuna idara ya mipango na vyanzo vya mapato kujenga madarasa? Leo hii bado tuna nchi ambayo rais wake miongoni mwa majukumu yake ni kujenga madarasa? Muonage aibu jamani
 
Halmashauri na manispaa nyingi hazina uwezo wa kutoa huduma za kijamii kutokana na kuwa na mapato duni. Ushuru wa minada au misitu unaweza kujenga madarasa kutosheleza? Jisumbue kutafuta taarifa.
 
Member aliyejiunga JF 2009 hana uelewa na hili? ndio muone ni aina gani ya watu mnasumbuka kuargue nao humu.
Nafahamu vizuri muundo wa serikali za mitaa kuanzia Majiji, manispaa, miji, halmashauri hadi vitongoji. Shida zenu nyie ni kukimbilia kutukana bila kujenga hoja. Mnajua vyanzo vya mapato vya serikali za mitaa? (Ukiondoa majiji na labd kidogo Manispaa?) Kuna Halmshauri zikikusanya Bil.3 zinafanya sherehe kufikia au kuvuka lengo. Je bilioni tatu zinaweza kujenga madarasa, zahanati, shule, dawa na kuendesha shughuli za opeational za halmashauri?
 
Halmashauri na manispaa nyingi hazina uwezo wa kutoa huduma za kijamii kutokana na kuwa na mapato duni. Ushuru wa minada au misitu unaweza kujenga madarasa kutosheleza? Jisumbue kutafuta taarifa.
Mada ni madarasa, wewe umeshakimbilia huduma za jamii.
Twambie gharama ya kujenga chumba kimoja cha darasa ni shilingi ngapi
 
Tufanye kujumlisha na makusanyo ya kodi ya TRA katika Halmashauri husika yarudi kwenye hiyo Halmashauri (Mf: Halmashauri ya mji Tunduma)
 
karibu asilimia 99% mirafi ya JPM mradi gani kaanzisha from foundation?
 
Rais Samia ameshakaa madarakani kwa zaidi ya miaka 5 kama Rais wa nchi yetu Tanzania hivyo ni jambo la busara kuanza kutahimini utendaji wake na kama kuna legacy yoyote atakayokumbukwa nayo siku hayupo madarakani.

Aibu naona mimi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hivyo vyote ni mtazamo wa magufuli na juhudi zake huyo mama hajawahi kuumiza akili yake kuwaza jambo la maendeleo ya nchii hii yeye ni uuzaji tu wakila kitu kauza bandari, kauza uwanja wa taifa wa ndege sasa hivi anampango wa kuuza mlima kilimanjaro na lissu kabisa atamuuza maendeleo kayafanya huko kwake zanzibar bwana hadi https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1HzeN1aEqK/
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ